January 27, 2021

 


HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Januari 27 dhidi ya Al Hilal mchezo wa mashindano ya Simba Super Cup,  Uwanja wa Mkapa.

Mchezo wa leo ni wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye amerithi mikoba ya Sven Vandenbroeck.

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameanzia benchi kwenye mchezo wa leo.



3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic