February 22, 2021

2 COMMENTS:

  1. Sawa ila najiuliza kwa uchungu sana katika nafasi kumi za CAF kama nchi Tanzania nzima tumeshindwa kuwa na kijana mmoja tu wa miaka 18 kuja chini hadi miaka 16 mwenye kipaji cha ziada cha soka kuwepo kwenye kikosi cha simba kama show case.Nazungumza hivi sio kwa simba ni kwa ajili ya taifa. Kuna mkakati gani wa taifa kwenye masuala ya soka kuitumia simba kuibua vipaji na kuvitangaza nje ya nchi? Simba ni platform ya kutangaza si utalii bali vipaji vya vijana wetu tunaoamini wana kitu cha kuonesha ulimwenguni tukishindwa kufanya hivyo basi wataitumia hiyo nafasi, tunapaswa kuamka.

    ReplyDelete
  2. Simba imetulia na shuari na huku Moo akiyatimiza kimyakimya kila anachokiahidi inayowafanya nyota wenyewe wakijituma na kuongozana bila ya kusukumwa kutokana na mapenzi baina yao na kwa timu yao. Ikiwa hali ni hiyo, jee timu inapopata mafanikio inajuzu kutuhumiwa kwakuwa inapendelwa au kununuwa mechi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic