February 21, 2021

 

KIKOSI cha klabu ya Namungo leo kimeibuka na ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya wapinzani wao Clube Desportivo 1º de Agosto ya Angola katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano kombe la Shirikisho Afrika.

Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, Namungo ilikuwa ya kwanza kufungwa bao kabla ya kusawazisha bao hilo na kupata mabao mengine na mpaka mwamuzi anapuliza filimbi ya mwisho Namungo aliibuka na ushindi wa mabao 6-2.

Wafungaji wa mabao katika mchezo huo ni kama ifuatavyo;


Mchezo wa marudiano kati ya timu hizo utapigwa Februari 25, mwaka huu.

Hongera Namungo

5 COMMENTS:

  1. Hawa "Wavimbundu" hawatarudia tena kuleta ujinga wao kwa Watanzania
    Tumechoka kuwa wakarimu kwa watu tunaowapa mkono wa heri nao wanatujibu kwa kutupiga kibao cha shavu

    ReplyDelete
  2. Hongera Sana namungo kwa ushindi mnono

    ReplyDelete
  3. Vijana wanaingia makundi ya kombe la Shirikisho wakongwe wanataka kususia ligi.
    Tanzania kuna vituko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio kila neno ulibebe kama lilivyo hapo kuna tofauti ebu zungumza ya Namungo ili ueleweke kma huna neno kwao kaa kimya. Haijazungumziwa ligi kuu bara hapo

      Delete
  4. Mbona Namungo inashinda kiwepesi!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic