UWANJA wa Al Hilal
Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi
Al Merrikh 0-0 Simba
Dakika ya 45+2 Bwalya anafanya jaribio halizai matunda kwa kuwa linakwenda nje kidogo ya lango
Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Chama anachezewa faulo
Dakika ya 44 Lwanga anapoteza mpira
Dakika ya 43 Chama anachezewa faulo
Dakika ya 38 Chama anapiga faulo inaokolewa na kipa wa Al Merrikh baada ya mchezaji wa Al Merrikh kumuonyesha sehemu utakaopigwa mpira
Dakika ya 37 Mugalu anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 36, Mzamiru Yassin anacheza faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 34 Tshabalala anacheza faulo
Dakika ya 33 Al Merrikh wanapata faulo inaokolewa na mabeki wa Simba
Dakika ya 32 Luis añaingia na mpira ndani ya 18 anachezewa faulo mwamuzi anapeta
Dakika ya 31 Ramadhan Abdala ambaye ni nahodha anapiga faulo inakwenda nje kidogo ya lango la Kakolanya
Dakika ya 30, Bwalya anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 27 Kakolanya anaokoa hatari iliyopigwa na mshambuliaji wa Al Merrikh akiwa nje ya 18 huku mabeki wakikaba kwa macho
Dakika ya 25 Beno Kakolanya anafanya kosa kuokoa kona inakutana na kifua cha mchezaji wa Al Merrikh inagonga mwamba
Dakika ya 24 Wawa anapelekwa na mchezaji wa Al Merrikh nje kidogo ya 18 na kusababisha kona
Dakika ya 20 Chama anapeleka mashambulizi Al Merrikh yanazuiwa na mabeki wa timu pinzani
Dakika ya 18 Ramadhan anapiga faulo inamshinda Kakolanya kuokoa ila inakwenda nje ya lango
Dakika ya 16 Chama anachezewa faulo
Dakika ya 15 Mzamiru anaokoa hatari kwa kutoa nje mpira
Dakika ya 14 Mugalu anafanya jaribio ndani ya 18 linazuiwa na mabeki wa Al Merrikh
Dakika ya 12 Al Merrikh wanafanya jaribio kwa mpira wa faulo nje kidogo ya 18, mabeki wa Simba wanakaba kwa macho, unatoka nje
Dakika ya 11 Hamza Awood ametoka anaingia Ramadhan kwa Al Merrikh
Dakika ya 9 Chama anatoa pasi ndani ya 18 inaokolewa na mabeki wa Al Merrikh
Dakika ya 6 Luis anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 5 Chris Mugalu anachezewa faulo
Dakika ya 4 Onyango anaanua majalo
Dakika ya 3 Kakolanya anaokoa hatari ya mpira wa faulo iliyopigwa moja kwa moja
Dakika ya 2 Tshabalala anapeleka mashambulizi Al Merrikh
Dakika ya 1 Kakolanya anaokoa
Sekunde ya 55 Lwanga anacheza faulo ya Kwanza
Pamoja na ukweli kwamba tumepata pointi moja ugenini lakini chama langu leo lilicheza chini ya kiwango
ReplyDeleteUmedeka wewe. Hiyo ni game plan huwezi kufunguka kizembe ukafungwa.Pointi ya leo ilikuwa muhimu sana huku tukingojea mechi ya Ahly na Vita.
ReplyDeleteSio kila siku upate mpira biriani kuna siku unabadilishiwa menu kulingana na mahitaji.
Game Plan ya Didier imefanya vzr, point moja ya ugenini ni muhimu. Hapo ni kujipanga na kuchukua points 6 za home kwa ajili ya kujihakikishia Robo Fainali. Hongera Simba SC.
ReplyDeleteDroo za nyumbani na timu zisizo na kiwango mfululizo na droo ya ugenini na timu clab bingwa ya. nchi hiyo , ipi yenye aibu
ReplyDelete23/02/2021
ReplyDeleteAl-Hilal Stadium
Al Merrick 1
AS Vita 4
Simba wamemfukuzisha kazi kocha Al Merreikh
ReplyDeleteBado kumfukuzisha wa yanga
DeleteVita 0
ReplyDeleteSIMBA 1
FT Al-Ahly2- AS Vita2. Matokeo mazuri sana kwa Mnyama.
ReplyDeleteVita FC watachukua point Kwa Mkapa, kama ndio game plan ya point za nyumbani basi ni kama kucheza kamari
ReplyDeleteWasaidie wewe kupata hiyo pointi waliyoikosa Kinshasa Kwa Mkapa lazima uache zote.Upende usipende muulize Al Ahly.
ReplyDeleteAlmuhim baada ya mechi za jana mnyama bado anaongoza katika kundi A
ReplyDelete