KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Machi 6 dhidi ya Al Merrikh, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.
Beno Kakolanya ndani ya Uwanja wa Al Hilal akichukua nafasi ya Aishi Manula ambaye alipata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa.
Kakolanya linda clean sheet, Mungu atakuongoza
ReplyDeleteInsha’allah, ikawe kheri kwa mnyama
ReplyDelete