March 7, 2021

 


KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba tayari kimeshatua salama kwenye ardhi ya Tanzania kikitokea nchini Sudani. 

Simba inaongoza kundi A la michuano hiyo na pointi zao saba, huku ushindani ndani ya kundi hilo ukizidi kuwa mkubwa katika kusaka nafasi ya kwenda hatua ya robo fainali.

Al Ahly na AS Vita baada ya kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 wamefikisha jumla ya pointi nne huku Al Merrikh wao wakiwa wanaburuza mkia na pointi yao moja.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic