March 7, 2021

 


FT : Polisi Tanzania 1-1 Yanga.
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Polisi Tanzania wanagawana pointi mojamoja na vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga kwa kufungana bao mojamoja.

Wazir Junior anaingia anatoka Kibwana Shomari 

Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 90 Kipa wa Polisi Tanzania anaokoa hatari
Dakika ya 89 Buswita Goal 
Dakika ya 87 Yondani anacheza faulo anaonyeshwa kadi ya njano inakuwa ya pili anaonyeshwa kadi nyekundu 
Dakika ya 86 Mdamu anafanya jaribio linaokolewa na Metacha 
Dakika ya 79 Ngonyani anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 77, Mauya ndani anatoka Niyonzima 
Dakika ya 72 Mdamu anafanya jaribio linaokolewa na kipa 
Dakika ya 71 Tariq Seif anatoka anaingia Cosmas
Dakika ya 70 Kibwana Shomari anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 69 Yondani anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 64, Nasoro Maulid anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda nje ya lango 
Dakika ya 62 Yanga wanaokoa kona mbili za Polisi Tanzania 
Dakika ya 61, Kaseke anaingia anatoka Nchimbi, Buswita anaingia anatoka Kassim
Dakika ya 58, Nasoro anapiga faulo inaokolewa 
Dakika ya 57 Niyonzima anapiga kona ya nne kwa Yanga haileti matunda 
Dakika ya 56 Kisinda anapewa huduma ya Kwanza 
Dakika ya 54 Mdamu anaingia anatoka Kaheza 
Dakika ya 54 Niyonzima anapiga kona ya tatu kwa Yanga
Dakika ya 52 Niyonzima anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 51 Datus Peter anajaza majalo ndani yanatoka 
Dakika ya 50 Saliboko anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 49 Yanga wanapata faulo baada ya Saliboko kuunawa 
Dakika ya 48 Yondani anapeleka mbele majalo
Dakika ya 47 Nchimbi anafanya jaribio halileti matunda kwa Yanga
Kipindi cha pili kimeanza 
Mapumziko 
Zimeongezwa dakika 2
Dakika 45 Mwamnyeto anaokoa hatari
Dakika 41 Fiston Goal kwa kisigino
Dakika ya 39 Nasoro anacheza faulo 
Dakika ya 36 Nchimbi na kipa wa Polisi Tanzania wanapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 34 Sabilo anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 kwa pasi ya Nasoro
Dakika ya 30 Kisinda anachezewa faulo 
Dakika ya 29 Mnata anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 28 Nchimbi anamchezea faulo kipa wa Polisi Tanzania 
Dakika ya 25 Haruna Niyonzima anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 23 Nassoro anatoa nje mpira
Dakika ya 20 Yondani anaokoa hatari iliyojazwa ndani ya 18 na Kisinda wanapata Yanga kona mbili zinapigwa na Niyonzima hazileti matunda
Dakika ya 18 Fiston anachezewa faulo nje kidogo ya lango na Yondan
Dakika ya16 Yondani anaanua majalo
Dakika ya 13 Tonombe Mukoko anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 11 Saliboko anafanya jaribio ndani ya 18 linakwenda juu kidogo nje ya 18
Haruna Niyonzima ameanza leo, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,  Arusha.


Kwa sasa ni dakika ya 12

6, Polisi Tanzania 0-0 Yanga

Dakika ya 5  Niyonzima alifanya jaribio lilipaa juu ya lango akiwa ndani ya 18

14 COMMENTS:

  1. Naona leo mko live, mpaka sasa mnaongoza kwa goli la offside

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha wivu, robo mbaya haitakukusaidia

      Delete
  2. Goli hilo angefungwa Yanga wangefanya maandamano. Offside hata kipofu ameona.

    ReplyDelete
  3. Hongereni mabingwa wa sare. Huenda mashine za mabao haina mafuta

    ReplyDelete
  4. Ni bora watimize nia ya kujitoa. Ni maonevo bao la kabla ya dakika kumaliza mchezo linakubaliwa HAHAHAA Nya lapeta sasa wangojee kuizomea Simba watapopambana na Marikh

    ReplyDelete
  5. Goli la offside limewabeba. Wangefungwa wao wangesusia ligi.Utopolo akili zao.

    ReplyDelete
  6. Viongozi, mashabiki, na wachezaji wa UTOPOLO bado wanamuota muuaji wao MUDADHIR ABDALLAH baada ya kuwatungua goli la mwana ukome nje ya 18 na kuchana nyavu, bila shaka bado wanaweweseka.... Nimeona niandike nao wasome baada ya kuona wamegoma kuandika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mudathir Abdallah kiboko ya yanga ngoja tuandike maana hamtaki kuandika

      Delete
  7. Replies
    1. Mudadhir anasemaje kuhusu ulitaka kuchana nyavu za UTOPOLO? Mbona hamuandiki

      Delete
  8. Ubingwa Yanga wausahau kwa tena kwa miaka mingi ijayo na hilo jina la " mabingwa wa jadi" lipo hatari I kusahsulika

    ReplyDelete
  9. Hakuna cheo kama hicho, eti mabingwa wa historia. Ni kujipoza tuu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic