UWANJA wa Mkapa
Kipindi cha pili
Simba 0-0 Tanzania Prisons
Mapumziko, Uwanja wa Mkapa
Dakika 45 zinaongezwa dk 3
Dakika ya 43, Jumanne Elifadhil anaonyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Mzamiru Yassin
Dakika ya 36 Luis anapiga kona ya pili haileti matunda kwa Simba baada ya Mugalu kupiga kichwa off target
Dakika ya 34 Nurdin Chona anatoka anaingia Dotto kwa Prisons
Dakika ya 32 mchezaji wa Prisons anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 28, Mugalu anakosa penalti
Dakika ya 27 mwamuzi anatoa penalti kwa Simba
Dakika ya 25 Mugalu anachezewa faulo
Dakika ya 24 Manula anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 20 Tshabalala anachezewa faulo na Jeremiah Juma
Dakika ya 18 Luis anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika 15 zinakamilika kwa timu zote kuwa sawa bila kufungana. Ni mpira wa nguvu nyingi na akili nyingi uwanjani
Dakika ya 14 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 12 Jeremiah Juma anafanya jaribio nzuri akiwa nje ya 18 linaokolewa na Manula
Dakika ya 10 Prisons wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 9 Mkude anacheza faulo
Dakika ya 6, Bwalya anafanya jaribio nje ya 18
Dakika ya 4, Wawa anacheza faulo
Nduguzangu simba siwaoni hapa vp
ReplyDeleteKiko wapi? Oooh sisi wa kimataifa, tuna kikosi kipana, kocha wetu anaujua mpira
ReplyDeleteUbao unasemaje?
DeleteAhsante refa!!!!
ReplyDeleteLeo hii simba wanashangilia draw,,,na penati juu,,,dk5 nyongeza
ReplyDeleteKwa hiyo ulitaka tushangilie kufungwa?
DeleteMnyama leo alibanwa sana
ReplyDeleteUyo utopoloo ana akiri
ReplyDelete"Akiri" ndo nini?
DeleteSimba tujipange na Michezo inayofuata. Point moja si mbaya nafac yetu tunakwenda kuichukua tu
ReplyDeletePamoja na Simba kuwa 12 uwanjani lakini wameshindwa kuwafunga Prisons waliokuwa 10 tu uwanjani
ReplyDeleteUmenena
DeleteUtopolo akili zenu finyu, tafuteni kocha na lipeni madeni madeni kea wachezaji, muda si mrefu tunawabsndua hapo juu
DeleteKwani nyie Utopolo mmewafunga Prisons?
ReplyDeleteHatujawafunga hawajatufunga....kwani nyie vipi?
DeletePrisons wanapaswa kujua mpira si kuumizana na hii ni kwa mchezaji wa timu yo yote. Mzamiru angevunjika shingo mchezaji aliyefanya kitendo kile alimmanisha nini kwa binadamu mwenzake?
ReplyDeleteLabda wana bifu la nje ya uwanja
DeleteBifu lisipelekee kumwumiza mtu au kumkatishia juhudi za kupambania maisha yake. Mpira ni ajira.
DeleteWaulize Coastal Union au Mbeya City?
ReplyDeleteKocha namshauri asidharau mechi dakika za lalasalama dhina tisha sana
ReplyDeleteHahahaaaa zinatisha co kama nn vile
DeleteKwahiyo mechi ya prison nayo ilikua kwenye zile point za kimahesabu kuwa kilekeni?
ReplyDeleteBado Gwambina hawaja chezanao hata mechi Moja, nawasiwasi TFF wataiweka mwishoni Ili isiharibu hesabu za team yao
ReplyDeleteBado Namungo FC, Gwambina washacheza mechi moja.
ReplyDeleteNaona Uto wamekuwa wazungumzaji sana, wenye timu hatuna presha, tuna viporo 3 kabla hatujalingana idadi ya mechi, katika hizo tunarnda kushinda, kudraw na kufungwa bado tunakukalia juu.
ReplyDeleteUte bhana huu ndio mpira na polisi mlishangilia bakika za mwishoni na prisons naye dakika za mwishoni
ReplyDelete