April 15, 2021

4 COMMENTS:

  1. Hii ndio Tanzania buana ukishaanza kuonyesha njia ya mafanikio ndipo utasikia figisu figisu za jambo lolote lile zinaanza ili kubalance uhalisia. Sisi mashabiki tumeridhika na mafanikio ya uwekezaji wa MO na hata CAG analitambua hiloo..
    Simba Nguvu Moja, kamwe hatutatoka nje ya reli! 🦁

    ReplyDelete
  2. Je na eneo letu lile la Kigamboni limelipiwa kodi ya ardhi? Nimekumbuka kumbe ile ni Manispaa tofauti. Basi wasubiri ule mzigo CAF uingie wajilipe kila wanachoona halali yao pamoja na gharama ya kesi inayobaki ndio halali ya Mnyama

    ReplyDelete
  3. Na hizi video zenu mbona hamuonyeshi picha za walengwa, inakera kuangalia!

    ReplyDelete
  4. milioni ngapi mpaka simba ishindwe?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic