FT: Gwambina FC 0-1 Simba
Gwambina inayeyusha pointi tatu muhimu mbele ya Simba kwa kufungwa bao 1-0 na kuwafanya wafikishe jumla ya pointi 58.
Dakika 4 zinaongezwa
Dakika ya 90, Manula anachezewa faulo
Dakika ya 87, Mzamiru anarejea uwanjani
Dakika ya 86 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza, shabiki wa Simba anaingia uwanjani
Dakika ya 84, Jonas Mkude anaingia anatoka Kagere
Dakika ya 83, Meshack Abraham anatoka anaingia Lwenge
Dakika ya 81 Simba wanapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 74 mashabiki wa Simba wanarusha machupa uwanjani
Dakika ya 74 Gooal na Onyango , goli linafutwa na mwamuzi kwa kile kilichoonesha kwamba mpira wa kona ya Chama ulitoka nje kabla ya kukutana na kichwa cha Onyango
Dakika ya 73 Chama anafanya jaribio nje ya 18 linaokolewa na kipa wa Gwambina
Dakika ya 70 Mugalu anaingia anatoka Bocco
Dakika ya 67 Gwambina wanacheza kwa utulivu mkubwa wakiandama lango la Simba, Miraj Saleh anaingia anatoka Rajab Athuman
Dakika ya 64 Makaka anaokoa
Dakika ya 63 Dilunga anachezewa faulo
Dakika ya 62 Morrison anatoka anaingia Dilunga
Dakika ya 60 Gwambina wanapata kona ya nne huku wao wakiwa wamepiga kona moja
Dakika ya 56 Nonga anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 54 Morrison anachezewa faulo
Dakika ya 53 Nyoni anacheza faulo
Dakika ya 51 Gwambina wanapata kona ya 3
Dakika ya 50 Chama anasepa na mpira, Kagere anakosa utulivu anapaisha
Dakika ya 49 Revocatus Mgunda anaonyeshwa kadi ya njano
Uwanja wa Gwambina Complex Gwambina FC 0-0 Simba
Kipindi cha pili
Kipindi cha kwanza
Mapumziko
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Nonga anamchezea faulo Joash
Dakika ya 41 Onyango anaanua majalo
Dakika ya 40 Kipa wa Gwambina anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 36 Kapombe anachezewa faulo
Dakikabya 34 Mwanuke anapeleka majalo mbele anazuiwa na Tshabalala
Dakika ya 33 Chama , Tshabalala, Chama
Dakika ya 28 Tshabalala Goool
Dakika ya 26 Gwambina wanapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 22 Bocco anafanya jaribio ndani ya 18 linaokolewa na Makaka
Dakika ya 18 Meshack Abraham anachezewa faulo na Nyoni
Dakika ya 17 Onyango anaanua hatari
Dakika ya 11 Morrison anachezewa faulo
Dakika ya 9, Nonga anafanya jaribio, Manula anaokoa
Dakika ya 7 Kapombe anamchezea faulo Meshack
Dakika ya 6 Meshack Abraham mwenye mabao 8 anapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 5, Morrison anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 4 Gwambina wanapata kona ya Kwanza iliyosababishwa na Paul Nonga mwenye mabao matano baada ya Onyango kuanua majalo
Utopolo pigeni hesabu bado ngapi
ReplyDeleteMnyama keshatia mguu ndani na hata ukifanikiwa kuutoa siku ya pili utakuta miguu yote imo nadani na ndio kwaheri ya kuonana
ReplyDeleteMbona mnabanika
ReplyDelete