May 9, 2021

16 COMMENTS:

  1. Sikutegemea kama tff wanaweza kutoka muda huu na maelezo ambayo bado hayajakamilika. Kwa tukio la jana asilimia kubwa ya wadau tunawalaumu tff, lkn leo wanaizungumzia bodi ya ligi kana kwamba nikitutofauti kabisaaa. Pia hapa hoja si viingilio tu, watu wametumia nauli kutoka sehemu mbalimbali, ndani na nje ya Dar, nao hao inakuwaje. Lkn kubwa zaidi ni morali ya washabiki ambapo naamini imeshuka sana kwa huu ubabaishaji, nalo hilo wanasemaje.Pia watu wamepigwa mabomu ya machozi japo sikujua sababu ilikuwa nini, kwa hapa na msongamano wa Taifa naimani Kuna watu wamepoteza vitu na wengine wameumia. Hivyo tukianza kuzungumzia hasara hapa haziwezi kuelezeka na sio viingilio tu km wao wanavhofikili. Mimi nadhani kwa hili kuwe Kuna kikao cha pamoja kati ya Simba, Yanga, Tff na wizara husika na kiendeshwe na mtu neutral km ofisi ya waziri mkuu ili kubaini uzembe ulikuwa wapi na mhusika aombe radhi na kujiuzuru pia.

    ReplyDelete
  2. Mdau nimependa maelezo yako,ukweli ni kwamba chombo kinachoongoza Mpira kimedharirisha Wapenzi wa Mpira,sisi hatupo ndani kujadili Team lkn Raise wa TFF alitakiwa aingie hata gharama (TFF) aongee live na vyombo vya habari siyo hizo barua na sijui yeye anajiona ni Mkuu Sana lkn kwetu Wapenzi ni mpumbavu ,haya ni matokeo ya kukomoana hata Chama langu mlitakiwa busara no matter Kanuni,mngejiongeza mkaepusha majanga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sure Bro, km kweli tumejiandaa vzr na kwa muda mrefu ishu ya kuongezwa masaa mawili tu inaogopesha wapi au tunaamini ktk ushirikina??

      Delete
    2. Kweli kbs viongozi wetu wa club wameiogopa Simba ndo maana wakatumia mabadiliko ya ratiba Kama kigezo

      Delete
    3. Waziri wao ni utopolo natafuta namna ya kuleta picha yake akichangia yanga na jezi alizovaa

      Delete
  3. Ivi nani alaumiwe? Ratiba ilikuwa saa 11 nusu saa unabadili muda kuwa saa 1 lengo ni nini??

    ReplyDelete
  4. We mdau hapo juu sio kila kitu yanga angalia uuongozi nao bana

    ReplyDelete
  5. Dah kweli ukiwa shabiki arafu ukawa kama bendera inayofuata upepo basi ni shida sana, hutokuja kuishi sehemu yoyote bila kujua sheria na kanuni, haya mambo ya kuairisha mechi nusu saa au saa moja kabla ni ukosefu wa maadili na kutozingatia sheria na kanuni, huu ni upuuzi sana na haya mambo utayakukuta TANZANIA arafu bado kuna wapumbavu wachache wanaunga mkono et kisa ni shabiki wa timu flani.

    ReplyDelete
  6. Kama TFF WANGETOA TAARIFA MASAA 24 KABLA WASINGE pata lawama zozote. Pia wagewapa Simba point 3 lkn kwasababu TFF walichemka ndio maana wanaomba msamaha

    ReplyDelete
  7. Ni jambo baya sana kutesa maelfu ya mashabiki kiasi kill. Watu wamesafiri kutoka nje na ndani ya nchi, wameingia uwanjani wengine kutoka saa 3 asubuhi, wamefunga ramadhani,watu wamelipa pesa zao, halafu Wizara na TFF mnakuja kuharibu ratiba? Kabla ya kubadili ratiba kwanini hamkuitisha kikao cha dharura cha pande zote husika-Wizara ya Michezo,TFF,YANGA,SIMBA,Chama cha Waamuzi,Bodi ya Mashindano, Kamati ya Ulinzi na Usalama, nk mkajadili kwa pamoja na kukubaliana kwa pamoja. Kwanini hekima hiyo haikutumika?

    ReplyDelete
  8. Simba anahusikaje au kulaumiwa na sakata hili?
    Kila timu imejulishwa saa 7 mchana kusogezwa Kwa masaa 2 tu na pengine serikali iliyoamuru TFF kusogezwa Kwa muda walikuwa na nia njema ili waliofunga wapate muda wa kufuturu na baada ya hapo biashara ya mechi hiyo iendelee.Mie kama mdau wa soka bado hainiingi akilini timu kususia mechi iliyoaharishwa na kusogezwa mbele Kwa masaa 2 tu? na kudai kanuni imekiukwa?...Busara ilitumika?Ilikuwa fair play? au ilikuwa kumkomoa Nani na ili iweje?Kama Serikali ingeamuru mechi ichezwe kesho yake hapo ningewatupia lawama Serikali lkn imesogezwa masaa tu?...huu ni ungwana waliowafanyia watazamaji wote kupitia uwanjani,luninga?

    ReplyDelete
  9. mnyama kwa sasa anatisha
    kwani kuongeza masaa mawili sio tatizo
    tunaona hata mechi ya azam na yanga ilisogezwa mbele wala haikua tatizo

    ReplyDelete
  10. Tatizo ni TFF na wizara husika kukosa watu wenye weledi lakini pia hii dharau kwa watanzania ni ya muda mrefu. TFF na bodi yake ya ligi wamekuwa wakiahirisha mechi mara kadhaa pasipo kujali muda wa washabiki waliolipa kiingilio kuwa unapotea na wanapoteza haki (fedha) ya malipo yaliyofanyika na mwisho wa siku badala ya kupozwa wanapigwa mabomu ya machozi na virungu.
    Hii ndio TFF hodari wa kufungia na kuadhibu watu wengine je baada ya kadhia hii bado wana haki ipi ya kusalia madarakani?

    ReplyDelete
  11. Kuahirishwa inawezekana ni kwa sababu ya kujikinga na virusi za Covid19 kusambaa!

    ReplyDelete
  12. Huwezi kujustfy ukiukwaji kanuni wa leo utumike kuhalalisha ukiukwaji wa kanuni kesho. Timu zikikiuka kanuni huadhibiwa, bodi ya ligi imekiuka inajificha kwenye kivuli cha TFF na serikali. Hii ni aibu kubwa ktk soka letu, mpk sasa sababu iliyopelekea mechi kusogezwa mbele haijawekwa bayana kwa nini?.cha kushangaza ni pale watu na akili zao timamu wanapokurupuka na kudai eti kusogeza mechi kwa masaa mawili si tatizo. Dharau na ubabe wa TFF na Bodi ya ligi ndo vimetufikisha kwenye sakata hili. Mnyonge akionewa sana siku akipata pa kuegemea huonesha nguvu zake. Inauma sana ila nadhani tumepata mahali pa kuanzia kurudi kuzitazama kanuni zetu upya na pia kuheshimu sheria na kanuni tulizojiwekea. Cha kusikitisha zaidi ni pale viongozi waliosababisha kadhia hii wanaposhindwa kuwajibika na kuendelea kutupiana mpira. Ukiongelea kurudisha gharama za tiketi, usisahau nauli, chakula, makazi kwa wale wa nje ya Dar. Lakini muda je nao utaufidiaje. Kuna watu walitakiwa wawe wamejiuzuru kitambo sana kwa uzembe huu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic