UONGOZI wa Yanga umewashukuru mashabiki na wanachama ambao walijitokeza jana Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na kusema kuwa wana bahati wapinzani wao wangefungwa nyingi.
Jana Mei 8 ulipaswa uchezwe mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ilishindikana baada ya muda kubadilishwa kutoka saa 11:00 jioni mpaka saa 1:00 usiku jambo ambalo Yanga waligomea kwa kuwa halikufuata kanuni.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram muda mfupi baada ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kueleza kwamba muda umebadilika kutokana na maagizo ambayo walikuwa wamepata, Yanga nao walijibu kwa kueleza kuwa ni kinyume na kanuni ya 15, (10).
Kanuni hiyo inasema:"Mabadiliko yoyote ya muda kuanza mchezo yatajulishwa ipasavyo kwa pande zote husika za mchezo angalau saa 24 kabla ya muda wa awali,".
Kutokana na kauli hiyo Yanga walipeleka timu saa 10:20 jioni kisha wakafanya mazoezi na kuondoka jumlajumla saa 11:39 huku wakipishana na Simba ambao waliingia saa 11:27.
Kupitia ukurasa wao wa Istagram Yanga wameandika namna hii:"Shukran kwa mashabiki, wanachama na wapenzi wa Young African Sc kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa kwenye mchezo wetu dhidi ya Simba.
"Bahati yao maana walikuwa wanakufa nyingi, tulieni Wananchi, haki inaweza kuchelewa lakini haiwezi kupotea,".
Ukisikia utaahira ndio huu. Mlishindwa nini kusubiri masaa mawili ili kuwafunga hayo mengi? Hii ndio shida ya kutegemea wachawi ili kushinda, mchawi akipanga muda ukibadilika tuu ushindi hakuna. Hivi kweli kwa timu ipi yanga ya sasa ishinde mengi? Acheni ujinga mnazidi kutuudhi bwana. Mnatufanya hatujui chochote ila ninyi tuu?
ReplyDeleteNdugu zetu hawako serious hata kidogo, propaganda zimewajaa. Nawashangaa mno mashabiki wao vile walivyo coz hawataki kuumiza vichwa ili kubaini mapungufu ya viongozi wao
DeleteMganga wao aliwaambia wakicheza saa 1.00 wanachapwa 8.
ReplyDeleteKwahiyo mganga ndiye alipanga saa kumi na moja?
ReplyDeleteHebu waulize hao maamuma wanaofikiria kwa kutumia MASABURI. Mchezo wa soka waongozwa na kanuni, na sio ujanja ujanja unaofanywa na waliopewa mamlaka ya kusimamia kanuni hizo
DeleteZile mechi kati ya Yanga na Azam na ya Yanga na Biashara Mara zilizosogezwa muda timu ya Yanga haikucheza? Walifuata kanuni ipi kucheza hizo mechi zilizosogezewa muda?
DeleteKutojali muda kwa wajinga wengi ndio maana mambo ya kijinga yanashangiliwa sana huku mambo ya maana yakiachwa. TFF ilishafeli kitambo vema wajiuzulu tu.
DeleteTulisem tangu suku nyingi kuwa utupolo hakuna viongozi... Hebu angalia huu ni upuuzi gani sasa wanaongea
ReplyDeleteMganga alifanyia kazi huo muda wa saa 11, walipoona umebadilika hawakuwa na muda wa kusogeza uchawi wai ikabidi wagomee mechi, usijifanye huelewi
ReplyDeleteNa hao waliotaka uchezwe saa moja ndivyo mchawi wao alivyotaka? Je ratiba ya saa 11 ilipangwa na Yanga?
DeleteSasa kama saa 11 wangefunga mengi inakuwaje saa moja washindwe kufunga mengi kama sio kutegemea uchawi?
ReplyDeleteHili gazeti na utopolo ni kitu kimoja ingekuwa simba wamefanya hivyo leo habari zote zingekuwa za kuikandia Simba
ReplyDeleteSio uongo mkuu na hapo wanajitahidi kila njia kuhalalisha ujinga ujinga wao.....shame to them
DeleteKila kitu kinaenda kwa kanuni bila hivyo tusingeenda mwenye taluma hufuata kanuni mjinga huenda vyovyote atakavyo
ReplyDeleteMechi za Yanga dhidi ya Azam na ile dhidi ya Biashara Mara zote muda ulisogezwa na Yanga walicheza. Kanuni haikuwepo? Busara ilihitajika kwanza hasa kwa kufikiria gharama pamoja na mashabiki ambao wengine walitoka nje ya Dar. Kisha mjadala na malalamiko kuhusu kanuni yangefuata. Huu ungekuwa uamuzi bora zaidi
DeleteKwa nini muda ulipobadilishwa siku ya mechi Yanga na Azam na kisha Yanga na biashara uongozi na mashabiki mbubmbu au manyani kama anayiwaita koch wenu mzungu wa Serbia mulikubali kucheza? Na kwa nini kwa kanuni ile ile muliyotumia kucheza na Azam na kisha na Biashara musingeitumia kucheza na Simba. Ama kweli yule kocha hakukosea kuwaita mbumbumbu na manyani
DeleteKama mngejua kuna kwanini Mwakalebela alipofungiwa mlienda kuwaona viongozi wa serikali na msifate kanuni za kukata rufaa
DeleteMaisha hayawezi kuamuriwa na kanuni kwa asili mia mia moja, ndio maana tumepewa akili. Mjinga ndio hujificha kwenye kanuni bila kuruhusu matumizi ya akili na busara
ReplyDeleteTueleze basi busara gan ilitumika kubadili muda wa mechi kutoka 5pm mpaka 7pm?? Au nyie na tifua ndo mnajua sababu za kusogeza mechi mbele?
DeleteKwa nini muda ulipobadilishwa siku ya mechi Yanga na Azam na kisha Yanga na biashara uongozi na mashabiki waliopewa jina zuri na yule kocha mserbia mulikubali kucheza? Na kwa nini kwa kanuni au busara ile ile muliyotumia kucheza na Azam na kisha na kucheza na Biashara muda uliposogezwa mbele musingeitumia kanuni ile kucheza na Simba? Ama kweli yule kocha hakukosea kuwaita namna ile.
Deletewatu sio wajinga! mara ya mwisho wao kumfunga nyingi ni lini..kama wanajua wangepata nyingi si wangesubiri wacheze...masaa mawili sio mengi! hivi kweli kama walijui # 8 ina mengi basi wangesubiri warudishe zile 4-1.
ReplyDeleteni uamuzi sahihi uliofuata kanuni..lakini je ni halisia? una busara..watu wangapi wamenunua tiketi,safiri kuja dar, ahirisha mambo yao, tumia muda wao..ila viongozi wa Yanga waliona sio sawa kusubiri masaa mawili..tukumbushane Yanga mwaka jaana waliingiaje mchezo wa mwisho kwao FA hadi kucheza na Simba.Ushindi wa uonevu dhidi ya Kagera...na mwaka huu mlivyoingia robo fainal8 haieleweki..tunaomba mkutane na Simba hatua yeyote ijayo katika FA
ReplyDeleteUsihofu, kwani kwenye mapinduzi tulikutana na nani?
DeleteMbona watu kelele nyingi, kama simba walikuwa sahihi kwann wasingepewa point 3 palepale? Kanuni zimekiukwa na ndo maana sababu ya kusogeza mechi mbele haikutajwa, tff wanasema wamepokea tu taarifa kutoka wizara husika, kwan ukiulizwa kwann mechi imesogezwa mbele hadi saa 1ucku utatoa majibu gan? Ifike mahali tusifanye mazoea
ReplyDeleteKwa nini muda ulipobadilishwa siku ya mechi Yanga na Azam na kisha Yanga na biashara uongozi na mashabiki waliopewa jina zuri na yule kocha mserbia mulikubali kucheza? Na kwa nini kwa kanuni au busara ile ile muliyotumia kucheza na Azam na kisha na kucheza na Biashara muda uliposogezwa mbele musingeitumia kanuni ile kucheza na Simba? Ama kweli yule kocha hakukosea kuwaita namna ile.
DeleteHawa jamaa naona wanazidi kuwa na vituko visivofahamika. Kweli huyo kocha wao mpya haoni ajabu na vituko vya timu yake?
ReplyDeleteKanuni mechi ys Simba tu.Mbona mechi na Azam na Biashara mlicheza.Hakukuwa na kanuni?Viongozi waliona pa kutokea. Heri lawama kuliko fedheha. Ndukiii.
ReplyDeleteMashabiki Mjifunze hii mechi ilitakiwa ichezwe February Nani alihairisha?
ReplyDeleteumesahau Yanga walipokuwa kimataifa walikuwa wanakula viporo kwa starehe zao..kama simba ana mechi CAF usitegemee watagawa kikosi ili wacheze na ligi kuu.unajua sababu ni kwa nini..na wamefanta vizuri CAF
DeleteMbona Mikia waliambiwa wacheze na Ahly jioni walikataa?
ReplyDeleteKwann wawa lazimishe Yanga wacheze kwa ratiba za kiubabaishaji
Kurudisha muda nyuma kunapunguza muda wa Maandalizi, ukiongezewa muda ndo ushukuru kwa kuwa umeongezewa nafasi ya kujipanga zaidi.
DeleteKweli Utopolo vilaza.... Mechi za mabingwa timu mwenyeji ndo anapewa nafasi ya kupemdekeza mechi yake ichezwe muda gani
DeleteUtopolo wako vzr sana yani kaupenyo kadogo tu wamechoropoka mbio sio za nchi hii
ReplyDeleteMuda wa mechi umebadilika kwa wote, vipi Yanga ndo waumie saaana kuliko wenzao? Anipe mtu utaalamu wake saa 11 iwe sawa na saa 1 isiwe sawa
ReplyDeleteUtopolo hawana lolote wamepata Chaka la kujificha wakaona wajiepushe na aibu
DeleteHakuna mtu anaeijua familia kama mwana familia.Eymael aliijua Yanga vizuri na hakukosea aliposema mashabiki wa Yanga ni mbumbumbu hawajui kitu kazi kubweka kama mbwa na kupiga kelele kama nyani..Tazama walivyokubali na kushabikia maamuzi ya viongozi wao.Namna walivyokuwa wanashangilia na kusindikiza basi!Haya mambo hayana tofauti na suala la Morrison au Mwambusi alivyotoswa tena baada ya Nabi kufika! ndiyo unajua utopolo na gongowazi vinamaanisha nini
ReplyDeleteKiuhalisia Yanga ni lazima wapewe points 3 na magoli matatu. Na isipotokea hivyo waende FIFA watapewa ushindi. Simba kwa kushirikiana na Wizara pamoja TFF ndiyo walitaka kuvunja mechi kwa makusudi kutokana na sababu mbili.
ReplyDelete1. Kama alivyosema Hsji Manara kuwa tarehe 8 siku zote wakicheza na Yanga basi Simba hufungwa.
2. Huu mchezo huwa timu zinatumia nguvu nyingi na Jumatatu wanaenda kuwafuata Kaizer Chiefs. Kuahirisha mchezo na Kaizer haiwezekani bali mbinu rahisi ni huu na Yanga kwa vile TFF karibu yote ni Simba. Hakukuwa na sababu ya kuusogeza mchezo kutoka saa 11 hadi saa 1. Michezo mingine kama vile Yanga vs Azam timu zote mbili zilikubaliana pamoja na TFF kuwa muda ubadilishwe lakini siyo safari hii.
Yanga walipileka timu uwanjani saa 11, Simba walipeleka saa 12 kasorobo. Hivyo Simba hawakupeleks timu kwa wakati na wakijua tosha kuwa muda uliobafilishwa haukufuata kanuni.
Hivyo Yanga hawana haja ya kuurejea tena huu mchezo. Waende FIFA na watapewa ushindi.
Na hakukuwa na sababu ya kushindwa kuvumilia masaaa mawili..muda mwingi na gharama nyingi zimetumika kwa ajili ya mechi hii. Eti kisa kanuni😀😀
DeleteNa hakukuwa na sababu ya kushindwa kuvumilia masaaa mawili..muda mwingi na gharama nyingi zimetumika kwa ajili ya mechi hii. Eti kisa kanuni😀😀
DeleteKiuhalisia Yanga ni lazima wapewe points 3 na magoli matatu. Na isipotokea hivyo waende FIFA watapewa ushindi. Simba kwa kushirikiana na Wizara pamoja TFF ndiyo walitaka kuvunja mechi kwa makusudi kutokana na sababu mbili.
ReplyDelete1. Kama alivyosema Hsji Manara kuwa tarehe 8 siku zote wakicheza na Yanga basi Simba hufungwa.
2. Huu mchezo huwa timu zinatumia nguvu nyingi na Jumatatu wanaenda kuwafuata Kaizer Chiefs. Kuahirisha mchezo na Kaizer haiwezekani bali mbinu rahisi ni huu na Yanga kwa vile TFF karibu yote ni Simba. Hakukuwa na sababu ya kuusogeza mchezo kutoka saa 11 hadi saa 1. Michezo mingine kama vile Yanga vs Azam timu zote mbili zilikubaliana pamoja na TFF kuwa muda ubadilishwe lakini siyo safari hii.
Yanga walipileka timu uwanjani saa 11, Simba walipeleka saa 12 kasorobo. Hivyo Simba hawakupeleks timu kwa wakati na wakijua tosha kuwa muda uliobafilishwa haukufuata kanuni.
Hivyo Yanga hawana haja ya kuurejea tena huu mchezo. Waende FIFA na watapewa ushindi.
Walipewa taarifa muda umesogezwa mbele.,wakijuw refa na timu pinzani. ukiambiwa wewe mbumbbu kweli ulienda uwanjani kupeleka timu ulidhani itacheza kabla ya saa 1
DeleteWalipewa taarifa muda umesogezwa mbele.,wakijuw refa na timu pinzani. ukiambiwa wewe mbumbbu kweli ulienda uwanjani kupeleka timu ulidhani itacheza kabla ya saa 1
DeleteHuna akili hata nusu kijiko, yanga apewe point tatu kwa kukimbia mechi? Wanayo ripoti ya kamisaa? Tumia akili hata hizo kidichu ulizojaliwa
ReplyDeleteKwani kanuni zinawekwa kwa urembo? Fff wamejaa mikia ndio maana hata maamuzi mengine wanashindwa kutoa.
ReplyDeleteHata mimi naunga mkono wapewe ushindi wa goli tatu na pointi tatu wala si mbili hasa vile wamekuwa wakilalamika sana kuonewa kwa mambo mengi sana na hadi kufikia fifa na pia hasara walizopata kubadilisha makocha baada ya kuwatimuwa wasioweza kazi na pia kwakuwa mwaka wa nne huu ubingwa wanausikia kwa masikio tu, waonewe huruma sana
ReplyDelete