Mwadui FC wanaliaga Kombe la Shirikisho jumlajumla na kuendelea kupambana kwenye mechi zake za ligi.
Mwadui waliweza kupambana ila bahati haikuwa yao na msimu ujao watashiriki Ligi Daraja la Kwanza.
Zinakamilika dakika 90 zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 90 Mukoko anapeleka mashambulizi Mwadui
Dakika ya 89 Adeyum anapeleka mashambulizi Mwadui
Dakika ya 87 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 85 Kaseke anatoka anaingia Wazir, Halfan anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Yacouba
Dakika ya 81 Kaseke anakosa ndani ya 18 kwa kupaisha mpira
Dakika ya 70, Nchimbi anatoka anaingia Wazir Jr
Dakika ya 67 Shikalo anaokoa hatari langoni mwake, Wallace Kiango anatoka kwa Mwadui anaingia Deogratius
Dakika ya 65 Kaseke anafunga gooal ila mwamuzi anaeleza kuwa ameotea
Dakika ya 59 Yacouba anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 58 Nchimbi anapeleka mashambulizi kwa Mbissa
Dakika ya 56 Kaseke Gooool pasi ya Yacouba
Dakika ya 54 Mbissa anaokoa hatari ya Nchimbi ndani ya 18
Dakika ya 53, Mbissa anaokoa hatari ya Yacouba ndani ya 18 kwa pasi ya Fei ndani ya 18
Dakika ya 49 Denis Richard anafanya jaribio linalenga lango ila mikono ya Shikalo inaokoa hatari hiyo na kufanya ubao uendelee kusoma Mwadui 0-1 Yanga
Dakika ya 48 Hashim Mohamed anapeleka mashambulizi kwa Shikhalo
Dakika ya 47 Yacouba anapeleka mashambulizi Mwadui FC
Kipindi cha pili
Mapumziko
Dakika 2 zinaongezwa
Ngoma ipo live pia Azam Tv
Dakika ya 45 Kibwana Shomari anamwaga majalo ndani ya Mwadui, linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 44 Wallace Kiango anafanya jaribio akiwa ndani ya 18 linaokolewa na mikono ya Shikalo
Dakika ya 43 Yacouba anafanya jaribio kwa mpira wa juu unaokolewa na Mwadui
Dakika ya 42 Salim Aziz wa Mwadui FC anapiga shuti kuelekea Yanga linakwenda nje ya lango hilo
Dakika ya 41 Zawad Mauya anapeleka majalo mbele
Dakika ya 39, Rosha Rashid anakosa utulivu na kupaisha mpira huo mbele ya Shikalo
Dakika ya 34 Fei Toto anapiga kona ya tatu hiyo nayo inaokolewa na Mwadui FC
Dakika ya 31 Fei Toto anapiga kona ya pili kwa Yangainapigwa kichwa huru na Nchimbi kinakwenda nje ya lango
Dakika ya 30 Mwadui wanaanza kupeleka mashambulizi kwa ShikaloDakika ya 24 Goool Kaseke baada ya kipa Mbissa kufanya makosa ndani ya 18
Dakika ya 23 Fei Toto anapiga kichwa huru ndani ya 18 kinakwenda nje ya lango
Mwadui 0-0 Yanga
Uwanja wa Kambarage
Dakika ya 20 Mbissa anarejea mchezoni
Dakika ya 19, Mbissa anaokoa mpira uliopigwa na Fei Toto akiwa ndani ya 18, anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 18 Kiango anatoa mpira nje.
Dakika ya 17 Kibwana Shomari anamwaga majalo yanakutana na mikono ya Mbissa.
Dakika ya 15 Feisal anapiga kona ya kwanza Mwamnyeto anapiga shuti kubwa linakwenda juu ya lango
Dakika ya 15 timu zote hazijafungana huku Yanga wakionekana kukosa umakini katika umaliziaji sawa na Mwadui FC
Dakika ya 14 Deus Kaseke anapokwa mpira, Nchimbi anaondoka kwa kasi kulifuata lango la Mbissa ila anazidiwa na spidi ya mpira
Dakika ya 13Wallace Kiango anapeleka kwa Luccian
Dakika ya 12 Hashim Mohamed anatengeneza nafasi nzuri kwa wachezaji wa Mwadui ila wanakosa utulivu ndani ya 18
Dakika ya 11 Mwadui FC wanapeleka mashambulizi kwa Shikalo
Dakika ya 10 Deus Kaseke anafanya jaribio zuri, Mbissa anatema mpira unakutana na Yacouba ila anakwama kuuzamisha nyavuni.
Dakika ya 9 kipa namba moja wa Mwadui FC, Mbissa anaanzisha mashambulizi kuelekea lango la Shikalo
Dakika ya 8 Bakari Mwamnyeto anampa Job na kupeleka kwa Kibwana kupeleka mashambulizi Mwadui
Dakika ya 7 Kaseke Deus anapiga pasi ndefu kuelekea eneo la Mwadui FC ila inakuwa haina faida kwao
Dakika ya 6 Wallace Kiango anapeleka kwa Luccian kumfuata Shikalo
Dakika ya 5 Kibwana Shomari anapeleka mashambulizi kwa Mbissa akiwa eneo la 18 anapiga mpira unakwenda juu kabisa ya lango.
Dakika ya 3 Kaseke anafunga bao kwa pasi ya Fei ila tayari alikuwa ameotea kwa mujibu wa mshika kibendera.
Dakika ya 2 Tonombe anafanya jaribio linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 1 Yacouba anafanya jaribio halileti matunda kwa lango la Mbissa.
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Kambarage
Mwadui 0-0 Yanga
Uwanja wa Kambarage, leo Mei 25 ni mchezo wa Kombe la Shirikisho ikiwa ni hatua ya robo fainali kati ya Mwadui FC v Yanga.
Kikosi cha Yanga tayari kipo kamili kama ilivyo Mwadui FC ambayo inahitaji kusaka ushindi leo.
Ni Saido Ntibanzokiza, Metacha Mnata ambao walikuwa kwenye mchezo uliopita dhidi ya JKT Tanzania leo hawapo kikosi cha kwanza.
Huyu kipa wa Mwadui amekula ngapi? Maana si kwa mchezo huu anaoucheza
ReplyDeleteKumbe Utopolo wanacheza leo
ReplyDeleteAliwahi kuchezea Yanga B kwa hiyo jaza mwenyewe.
ReplyDeleteHawana cha kupoteza hao kiini macho tu hapo
ReplyDeleteMwadui haikuwa na morali wowote kwakuwa katika ligi wao ni wa mwisho na kuwa na wameshaiaga ligi ya wa kubwa mapema sana na kurejea tena ni majaliwa kwahivo matopolo wametoka Kifuwa mbele. Kipa wao nambari Mkenya Faruk aliondoshwa na kuonekana hafai na katika hesabu za kutompa mkataba mpya pale aliposhindwa kudaka shuti la mbali la Azam. na kurejesha Mnyata kuwa kipa namba moja na sasa tumeshuhudia tena kurejeshwa tena Faruki na kutimuliwa Mnyata. Hawana utulivu
ReplyDeleteMwadui ilipocheza na Simba ilikuwa bado hai katika vita ya kujikinga isianguke, lakini jana ilipambana na Yanga na huku tayari imeshakufa
ReplyDeleteKwaiyo kama imekufa kachimbe kabur sasa
ReplyDelete