May 22, 2021




FT: Simba 3-0 Kaizer Chiefs
Agregate: Simba 3-4 Kaizer Chiefs
Simba wanatolewa hatua ya robo fainali na Kaizer Chiefs, Uwanja wa Mkapa.
Dakika 90 zimekamilika, zimeongezwa dakika 5
Dakika ya 85 Chama Goooooal, pasi Luis 
Dakika ya 80 Simba wanapata kona mbili hazileti matunda
Dakika ya 77 Kaizer Chiefs wanapata kona nne kwa wakati mmoja katika lango la Simba kwa sasa, mambo bado ni mazito
Dakika ya 72 Mugalu na kipa ndani ya 18 anakosa kufunga mpira wake unaokolewa na kipa kwa pasi ya Kapombe
Dakika ya 69 Chama anapiga koa haileti matunda, Bocco anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 63 Chama anamwaga majalo ndani Luis anakosa
Uwanja wa Mkapa
Simba 2-0 Kaizer Chiefs
Dakika ya 57 Bocco Gooooal
Dakika ya 56 Chama anapiga kona inakuwa ni kona yake a pili kipindi cha pili hakuna matunda na anapiga nyingine tena ngoma inakataa
Mchezo wa Kaizer Chiefs kwa sasa ni kupoteza muda hawana cha kupoteza na presha kwa Simba ni kubwa washambuliaji wamekosa utulivu
Dakika ya 53 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 49 Bocco anaongea na mwamuzi na kipa Bvuma anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 48 Kipa wa Kaizer Chiefs anapewa huduma ya kwanza baada ya Mugalu kufanya jaribio akiwa nje ya 18 na mwamuzi amekamata kadi ya njano
Dakika ya 47 Castro anafanya jaribio kwa Manula kwa mpira wa juu unakwenda nje ya lango
Kwa upande wa Simba hawajafanya mabadiliko 
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha kwanza kimekamilika
Dakika ya 45+6 Morrison anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumhadaa mwamuzi
Dakika 45 zimekamilika, zimeongezwa dakika 6
Dakika ya 42 Morrison anatoa pasi hafifu inaishia mikononi mwa kipa wa Kaizer Chiefs
Dakika ya 40, Bocco na Mugalu wanakosa bao ndani ya 18
Dakika ya 38 Onyango anatoka anaingia Kened Juma
Dakika ya 37 Morrison anachezewa faulo nje ya 18
Dakika ya 34, Lwanga anatoka anaingia Nyoni
Dakika ya 30, Onyango na Wawa wanapewa huduma ya kwanza baada ya kugongana wakati wakiokoa mpira
Uwanja wa Mkapa
Ligi ya Mabingwa Afrika
Kipindi cha kwanza
Agregate: Kaizer Chiefs 4-1 Simba
Simba 1-0 Kaizer Chiefs
Dakika ya 28 Chama anakosa nafasi inakuwa kona anapiga kona ya tatu Chama, haileti matunda baada ya Onyango kuokoa




 

Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Mkapa
Agregate: Kaizer Chiefs 4-1 Simba

Dakika ya 24 Morrison anaingia anatoka Mzamiru Yassin
Dakika ya 23, Bocoo Gooool pasi ya Chama
Dakika ya 21 Mugalu anaotea kwa mpira wa pasi ya Bocco
Dakika ya 19 Manyana amanpewa huduma ya kwanza
 Dakika ya 17, Onyango anaokoa mpira miguuni mwa Wanyama, inakuwa kona
Dakika ya 16 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano, Mugalu anafanya jaribio halileti matunda, inakuwa ya kwanza kwa wachezaji wa Simba
Dakika ya 14 Samir Kurkonovic wa Kaizer Chiefs anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 14 Kapombe anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Kaizer Chiefs 
Dakika ya 12 Kaizer Chiefs wanapata kona, makosa yaleyale ya mabeki wa Simba wanarudia na kumacha Wanyama anaruka na kupiga mpira kwa hewa 
Dakika ya 11, Kaizer Chiefs wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 9 Lwanga anamchezea faulo Castro David anapewa huduma ya kwanza huyu ni mzaliwa wa Columbia 
Dakika ya 9 Mugalu anapeleka mashambulizi Kaizer Chiefs
Dakika ya 8 Eric Mathoho anachezewa faulo na Bocco
Dakika ya 8 Kaizer Chiefs wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 7 Luis anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 6 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 5 Kaizer Chiefs wanapata faulo inapigwa kwenda lango la Manula
Dakika ya 4 Chama anapiga kona ya pili inaokolewa na kipa wa Kaizer Chiefs
Dakika ya 4 Mzamiru anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 3 Luis anaotea
Dakika ya 2 Kapombe anamwaga majalo yanaokolewa
Dakika  ya 1 Simba wanapata kona inapigwa na Chama

Simba 0-0 Kaizer Chiefs
Kikosi cha Simba na Kaizer Chiefs tayari kimeshawasili ndani ya Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajia kuanza saa 10:00 jioni.

Simba chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes imani yao ni kuweza kupindua matokeo kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao wa  FNB ulisoma, Kaizer Chiefs 4-0 Simba hivyo kazi ni moja kwa Simba kupanda mlima wa kusaka ushindi wa mabao 5-0 ili kutinga hatua ya nusu fainali.

Mashabiki wa Simba na Watanzania wanaomba dua ili Simba ipate ushindi sawa na wale wa Kaizer Chiefs

24 COMMENTS:

  1. hongereoi kwa kushindwa kupindua matokeo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Simba wamepambana kiume wanastahili kongole. Mamelodi sundown goli mbili tu zimemtokea puani.
      Kwa Simba timu Bora imetolewa lakini ndio mpira. Ila Yanga wajitafakari na hii tabia yakuwa makuwadi wa wageni. La aibu zaidi hata bosi wao injijia hersi aliongoza kundi la wapumbavu ndani ya Yanga kuusaliti utaifa huyu hapaswi kuaminiwa na serikali Kama kiongozi umma kwani uzalendo wake una mashaka. Kaizar chiefs hawana lolote isipokuwa maelekezo ya uchawi waliopewa na Yanga.Hata kuumia kwa Onyango na Lwanga ni ushirikina uliokisiri kwa kuwatowa uwanjani best player wa Simba ili kuipunguza Kasi Simba. Yote kwa yote tukutane kwenye ligi.

      Delete
  2. Hatmae imewangukiaaa mikia hoyeeeee

    ReplyDelete
  3. Naiona simba ikicheza nusu fainali

    ReplyDelete
  4. Simba kafa kisimba ni bahati tu haikuwa sawa sawa ama wangeondoka na si chini ya mabao saba. Mnyamal Kiwango kilochooneshwa na Mnyama kimewafumba mdomo mahasidi walioutakia maovu Simba. Asante Simba jamani bingwa wa kweli yunajivunia nayo

    ReplyDelete
  5. Wanaongea sana walisema watapindua meza hatimae ikawaponda malizeni viporo sasa manara bado hajaamini tu

    ReplyDelete
  6. Ningekuwa Utopolo nisingezungumza.Timu inayoongoza ligi ya VPL ina viporo 4 na bado inaongoza. Mtabaki kushangilia timu za nje misimu 10.Back to back 10.4 tayari bado 6.Bakieni kushangilia timu tutakazocheza nazo.Utopolo mlikuwa mnafungwa nyumbani.

    ReplyDelete
  7. Mmepigwa safi sana leo kimyaa maana mlikuwa mnasema hakuna wa kuwafunga pga hao vyura FC

    ReplyDelete
  8. Maisha ya mpira kuna wakati yanategemea bahati(luck) na makosa(mistakes),Simba ilipofika kusin haikua na bahati,na walifanya makosa mengi sana yaliyosababisha wafungwe magoli mengi,kingine kilichochangia ni mfumo aliotumia kocha,mfumo wa mshambuliaji mmoja ni ngumu sana kupata matokeo kwa timu zenye beki nzuri,ndiomana leo simba amepata matokeo kwasababu amebadilisha mfumo na amepunguza makosa ambayo alifanya kwenye mechi ya awali,Simba itabaki kua timu bora barani Afrika ingawa wengi wataendelea kupinga hili,leo imedhihirika dhahiri shahiri wwnaosema waseme tu.mungu ibariki Simba mungu ibariki Tanzania ahsanteni.

    ReplyDelete
  9. Wemeonyesha ukomavu wa Hali ya juu ,nimependa japo mi Mwananchi shida yetu ni kutokuacha uswahili matusi vinatuponza tunakosa malengo ndiyo maana wametolewa .nishinde niwaonyeshe akina Fulani au washindwe tuwacheke kwa haya yote hatufiki popote

    ReplyDelete
  10. Pamoja na kuroga koooote kule lakini bado wamepigwa. Baada ya majini yao kuwadhooofisha Kaizer yamekunywa damu ya onyango na Lwanga, maskini poleniiii

    ReplyDelete
  11. Suala hapa jee matopolo wanaouota ubingwa watakiweza kishindo cha Mnyama tulichokiona leo? Mungu zidi kuibariki Simba. Wamesema na wametenda na dunia nzima imeshuhudia. Umiliki wa Mnyama wa mpira ulikuwa zaidi ya 65 na kicheko cha kocha wao kiligeuka huzuni na ijapokuwa waneshinda lakini waliondoka uso chini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hehehe..hiyo timu iliyowatoa iko nusu ya pili ktk ligi yao

      Delete
  12. Hili lijinga hapa linaamini mpira ni majini?Ndio maana msipofanikiwa mnalalamikia kila mtu,kila taasisi na hujuma.
    Mchezaji wenu Bakari kasema kweli kwamba mmeshindwa kufikia malengo kwa sababu ya udhaifu wa timu yenu.Simba anaongoza ligi huku mmecheza mechi 4 zaidi yake. Hii ni kashfa.Hamjiulizi mnatafuta mchawi.

    ReplyDelete
  13. Neno la mungu linasema "katika kinywa cha mpumbavu mna fimbo ya kiburi, Bali midomo ya wenye hekima huwahifadhi"Acha kubishana maana utaidhalilisha hekima.

    ReplyDelete
  14. Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu.yanga kuweni makini maana mnaonekana mpo kwenye hili kundi.

    ReplyDelete
  15. Mimi ni "The Citizens" lakini kwa hakika nawapongeza watani zetu Simba,wameumaliza mwendo kwa heshima.
    Kuna la kujifunza kwa upande wetu maana ukiangalia aina ya viongozi wetu unaona kabisa hawana vision ya kututoa hapa tulipo na kupiga hatua mbili mbele,wamebaki kulalamika kila kukicha badala ya kujipanga na kupambana kwa kila namna.Ni wakati sasa wa sisi kujipanga na kujiwekea malengo vinginevyo tutabaki hapa tulipo.

    ReplyDelete
  16. Game imepita, kaizer chiefs wataenda kuwasimulia warugaruga wenzao huko south kuwa wamepita ila cha moto wamekiona. Utopolo endeleeni kushangilia wageni ila mbeleko ya simba ndio itawapeleka CAF mwakani labda mgomee maana ndio zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna watu akili zao zpo matakoni kwani nyie kutoka si mmetoka umilki mpira asilimia 100 ila point ya msingi umetoka atasimlia alie toka na chamoto amekipata alie toka njoon mchukue tena ubngwa mkashiliki upya

      Delete
  17. Naomba mawazo yenu; Thamani ya football club hupimwa na Nini 1.Ni thamani ya wachezaji Kama wakiuzwa wote kwa pamoja?au 2.Thamani ya wachezaji Kama wakiuzwa wote kwa pamoja, idadi ya mashabiki na wanachama, Mali za club,wadhamini wa club nk

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic