May 27, 2021

 

SIMBA wamewaonya watani zao wa jadi Yanga kwa kuwaambia: “Msikimbie tena, tunawataka fainali.” hiyo ni baada ya jana kufanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam.

 

Kauli hiyo inalenga kile kilichotokea Mei 8, mwaka huu Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo timu hizo zilitakiwa kucheza, lakini sintofahamu ya kubadilishwa muda iliyotokea ghafla, ikaufanya mchezo kuyeyuka.

 

Kuyeyuka kwa mchezo huo, Simba wanasema Yanga ndiyo walisababisha baada ya kukataa mabadiliko hayo ya muda, hivyo waliwakimbia.

 

Sasa basi, kama hawatakimbiana tena kwa maana ya mmoja wao akapoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, basi msimu huu tutashuhudia fainali ya wakongwe hao wa soka hapa nchini.

Yanga walikuwa wa kwanza kutinga nusu fainali ya michuano hiyo, baada ya juzi Jumanne kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui, kabla ya Simba jana kushinda 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na kuingia hatua hiyo.

 

kucheza nusu fainali kwa mabao mawili ya nahodha, John Bocco dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti na dakika ya 41, kisha Meddie Kagere akahitimisha dakika ya 78 na kuipa timu hiyo ushindi wa 3-0.

Vijana hao wa Kocha Didier Gomes, wamedhamiria kufanya kweli msimu huu huku malengo yao makubwa ni kutetea ubingwa wa michuano hiyo na Ligi Kuu Bara.

 

Hatua ya nusu fainali, Yanga itacheza dhidi ya Biashara United iliyoiondosha Namungo, huku Simba ikipambana na Azam ambao jana waliifunga Rhino Rangers mabao 3-1.

 

Mechi zote za hatua hiyo zitachezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, huku fainali ikitarajiwa kuchezwa Julai 25, mwaka huu Uwanja wa Tanganyika, Kigoma.

 

Simba jana ilikata tiketi ya kucheza nusu fainali kwa mabao mawili ya nahodha, John Bocco dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti na dakika ya 41, kisha Meddie Kagere akahitimisha dakika ya 78 na kuipa timu hiyo ushindi wa 3-0.

 

Vijana hao wa Kocha Didier Gomes, wamedhamiria kufanya kweli msimu huu huku malengo yao makubwa ni kutetea ubingwa wa michuano hiyo na Ligi Kuu Bara.

20 COMMENTS:

  1. Utopolo hawachomoki lazima tuwagonge tu

    ReplyDelete
  2. Simba bora haina uwezo wa kuifunga Yanga dhaifu kama ilivyo Yanga bora isivyoweza kuifunga Simba mbovu...

    ReplyDelete
  3. Makuma wote kabisa, nani alikimbia kama siyo nyie makuma tu maana timu iliyokuwa uwanjani ni YANGA na nyie nguruwe fc hamkuonekana KWAHIYO acheni ukuma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waambie kweli kabisa, bila kunyizia dawa simba hawana ujanja

      Delete
    2. Matusi ya nini sasa!! Kwani ukijibu kwa hoja tu Kuna shida gani... Utopolo mna safar ndefu sana

      Delete
    3. sisi tunahakika gani wewe sio hayo matusi unayoongea..wewe kama wenye mamlaka refa na makamishina wa mchezo wanajua mechi na saa moja...unaingia saa kumi uwanjani achezeshe nana malinzi...unachoongea ndiyo wewe mwenyewe

      Delete
    4. Kama ninyi Utopolo mlikuwa hamwogopi mngekaa mpaka kauli ya TFF shirikisho itoe mstakabali wa mchezo ungekuwaje, lkn ninyi ikawa ndo upenyo wakuikimbia Simba
      *Acheni uwoga*
      Hii Mara ya pili michuano ya kagane pia miaka iliyopita mliikimbia Simba hivyo hatushangai ninyi mashabiki,viongozi na team yenu nowadhaifu kifikra

      Delete
  4. Naona uchafu kuongelea hawa matopolo ni binaadamu ambao hata wanachokisema na kukitaka hakijulikani na hata huyu kocha wao kaanza kuwatambuwa tokea ile siku walioikimbia Simba jambo bila shaka hakuwahi kukumbana nalo tangu alipoingia ulimwengu wa ukocha na kuviona viroja vya ajabu

    ReplyDelete
    Replies
    1. NABI KALETWA AIFUNGE SIMBA, NA HAWEZI KUIFUNGA SIMBA NGOJA TUONE HIYO NUSU FAINALI. AZAM ANALIWA, AMA TUSEME KASHALIWA MAANA HAWA WANA MDOMO KAMA MWANAMKE ANAYEINGIZA TANGO KWENYE UCHI ANAVYODHARAU UUME WA NCHI 6. ALAFU UKIINGIA KELELE KAMA NG'OMBE VILE

      Delete
  5. Ni kweli ni kama waliosomewa alibadili. Dunia yote imekuwa kuwa wao Pamoj na Azam wamepata fursa hiyo kutokana na walichofikilia Simba katika ulimwengu wa soka lakini wanasuta, sijui wanaisuta CAF au FIFA lakini eti kwa kutokana na juhufi zao, juhudi gani au mafanikio yepi waliyoyapata tangu misimu mine iliyopita isipokuwa kutimuwa makocha na kumkimbia Mnyama kweupe

    ReplyDelete
  6. Kwani ktk mechi 2 zilizopita nani kafungwa? Au nani kabahatika kusawazisha? Mnatolewa na timu iliyoko ktk nafasi ya 12 kati ya timu 20 katika ligi..

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuanza kufunga sio kigezo kwamba wewe bora. ANAYESAWAZISHA ANADHIHIRISHA UBORA WAKE PIA. KAMA SIO PENATI YA KISINDA MNGETOKA SIKU ILE?

      Delete
    2. NANI ALIWATOA MARA YA MWISHO KATIKA KLABU BINGWA NA HATUA GANI? JIBU SWALI HILI TU

      Delete
    3. Umekariri na wala hujui mpira,hoja zako dhaifu sana sijui umeishia darasa la ngapi?ndiomana hata juzi ulivyobeti ulimpa man u,kua kidogo labda unaweza ukaja kua na hoja hapo baadae Ila kwasasa nakuona kama mtoto wa chekechea alafu unachangia hoja kwenye debate ya chuo kikuu.

      Delete
    4. kuwa mwenye kufikiria kwa upana! hizo timu zilizofungwa moja imeishashuka daraja na nyingine iko inazidi timu tatu tu toka mkiani au mbili tu ambazo hazijashuka daraja..wala sio timu ukipata ushindi ukajiona umefanya vema.tunachoomba matukio kama yale ya Yanga vs TZ Prison yasijirudie.Kama kuna penalti itolewe!

      Delete
    5. Nenda shule wewe Nani bingwa wa vpl
      Fikra zako nizakizee

      Delete
  7. Simba na yanga ni kama mafahari wawili,msemo huu huendana na theory of magnetism(like poles repel while unlike poles attract each other,sawa na wasichana wawili waliokwisha balehe wanapoishi pamoja lazima watakua na mikwaruzano Ila akitokea kidume awe anawaweka vyombo wala hutasikia makelele kamwe.ndiomana meneja wa baa siku zote ni mwanaume ili awaweke vyombo wauzaji wake au bar maids,ukifanya hivyo utayajua mengi sana kuhusu office yako maana wakati unawaweka lazima kati yao yupo atakaekua mbea.hii elimu kubwa ila msiitumie maana ikitumika vibaya pia inaleta madhara.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic