VIDEO: ALIYEMTUNGUA SHIKALO MABAO MAWILI AMETIMIZA AHADI ALIYOMPA MAMA
NYOTA wa Mwadui FC, Aniceth Revocatus ambaye alimtungua mabao mawili kipa wa Yanga, Faroukh Shikalo amesema kuwa alimuahidi mama siku moja atafunga mbele ya timu kubwa jambo ambalo jana Juni 20 lilitimia licha ya kushindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment