Kuhusu Fiston Abdulazack amesema kuwa inatokea kushindwa kufanya vizuri jambo ambalo linamuumiza wataendelea kumpa sapoti kwa kuwa wanajenga timu hivyo kukosa kwake penalti sio tatizo kwani hata Messi naye huwa anakosa.
Ameongeza kuwa watafanya usajili makini msimu huu ili kujenga kikosi imara kwa kuanza na safu ya ushambuliaji.
0 COMMENTS:
Post a Comment