June 12, 2021

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho ambao ni wa kirafiki dhidi ya Malawi utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 

Poulsen amesema kuwa maandalizi kiujumla yalikuwa ni mwanzo wa kujenga timu na imani yake ni kwamba kambi ya pili itakuwa na majibu mazuri zaidi.

 Ameweka wazi kwamba mahitaji ya mpira wa leo unahitaji mbinu nyingi ili kujenga timu yenye uwezo katika kusaka ushindi. 

 

1 COMMENTS:

  1. Wewe na bench lako la ufundi kaeni tayari kuwajibika manaake mnafanya mtakavyo,mnachaguana kupiga hela nyingi sasa basi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic