Dakika 4 zinaongezwa Uwanja wa Mkapa
Dakika ya 57 Kiango anaokoa hatari kwa Saido
Dakika ya 56 Boxer anaanua majalo kupeleka Mwadui FC
UWANJA wa Mkapa
Kipindi cha pili kimeanza
Yanga 1-1 Mwadui FC
Kipindi cha kwanza
Mapumziko
Zinaongezwa 2
Dakika 45 zinakamilika
Dakika ya 44 Mbisa anaokoa penalti ya Fiston
Dakika ya 42 Yanga wanapata penalti baada ya Fei Toto kuchezewa faulo ndani ya 18
Dakika ya 36 Wallace Kiango anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 34 Saido anakosa nafasi ndani ya 18 baada ya shuti kugoga mwamba
Dakika ya 31 Mbissa anaokoa hatari
Dakika ya 29 Saido anapiga faulo haileti matunda
Dakika ya 25 Fiston anaotea
Dakika ya 22 Goooal Bakari Mwamnyeto kichwa
Dakika ya 20 Fiston anachezewa faulo na Joram
Dakika ya 11 Boxer anapeleka mashambulizi kwa Mbissa
Dakika ya 10 Mukoko anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 8 Fei Toto anafanya jaribio linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 7 Mwadui Goooal Anicetus
Dk ya 6 Ntibanzokiza anakosa nafasi ya wazi
Dk 3 Saido Ntibanzokiza anakosa nafasi ya wazi
ReplyDeleteTunahitaji magori mengi
Mjini mipango
ReplyDeleteNinyi Yanga mna bahati sana leo.
ReplyDeleteHawana bahati ila wanajua mipango ya mjini
ReplyDeletemechi 2 timu inaruhusu goli 4 mbele ya timu ndogo dhaifu, IKIWA KAMA RUVU SHOOTING NA MWADUI WAMEWEZA KUPITA KWENYE UKUTA WA YANGA JE SIMBA WATASHINDWA? TUSUBIRI TAREHE 3
ReplyDeleteKabla ya hao uliowataja jiulize kwanza Simba ilishindwaje kupita kwenye huo ukuta wa Yanga.
DeleteHao hao Ruvu shooting unaowaita dhaifu, waliwatoboa kwa tundu moja mechi ya mzunguko wa kwanza.
DeleteWananchi chupuchupu kwa kila mechi hata ile ambayo imeshaanguka fofofo ya mwisho imicheza kwasababu ya kucheza na eti huko mitaani sherehe zisizo na mfano na huku Shikalo akiyafanya yaleyale
ReplyDeleteTunalingojea pilau la tarehe tatu tuusikie mngurumo wa Mnyama akiwemo mzee wa ukero na kiu yake
ReplyDelete