SHABIKI wa Simba Mwakitalimo ameweka wazi kwamba mchezo wao uliopita ni Shomari Kapombe ambaye alifunga bao la Yanga walipokutana Julai 3, Uwanja wa Mkapa ambapo ulisoma Simba 0-1 Yanga.
Shabiki huyo amesema kuwa ni bao la Kapombe kwa kuwa lilimgonga katika harakati za kuokoa shuti lililopigwa na Zawad Mauya wa Yanga hivyo watakwenda kulipa kisasi Kigoma. Pia ameweka wazi kwamba Yanga wanapaswa washinde mechi zao na kufunga mabao 28.
Ligi kuu bara 2020/21 yanga atakuwa bingwa kama msemaji alivyoahidi.... Yani mechi zilizobaki Simba atafungwa 7 bila kila mechi halafu yanga atashinda 5 bila kila mechi
ReplyDeleteIkiwa hivi bado Simba atakuwa bingwa labda yanga mechi moja akishinda 5 nyingine ashinde 6 ili amzidi Simba goli 1 kwenye goal difference
DeleteMmehamia kwenye ubingwa saivi, mwanzoni mlikuwa mnasema hakuna wa kuwazuia,tulieni dawa iwaingie kudadadadeki! Nyie kila mwaka mmelogwa, msimu uliopita Yanga kachukua point 4, game moja kashidna nyingie droo, msimu huu game ya awali chupuchupu mpigwe mkakomboa dakika ya 87, juzi tena mmekalia chuma, Mapinduzi mkapigwa,mnalogwa kila msimu? Bila kununua game na janja janja mtaendelea kuzifunga hizo mbovu tu. Mlimnunua Morisson na Tshitshimbi mkashianda, hakuna kununau tena kudadadeki!
DeleteRefa aliyewabeba kafungiwa
DeleteHivi mnaingia kwenye ligi kumfunga Simba?Basi Ruvu na Prisons nao ni mabingwa kwani walimfunga Simba.
ReplyDeleteUjinga mtupu.Ligi ni marathon sio kukamia mechi.Kukamia mechi ni tabia za timu ndogo zisizokuwa na malengo.