August 16, 2021

 


UONGOZI wa Simba umetoa taarifa rasmi leo Agosti 16 kuhusu wachezaji wake wawili ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama kupewa ofa kutoka timu za nje ya nchi.

Kwa taarifa hiyo inakuwa ni rasmi kwamba nyota hao wawili ambao walikuwa na uwezo mkubwa ndani ya uwanja hawatakuwa kwenye ardhi ya Tanzania.

Luis anatajwa kuwa amemalizana na Al Ahly ya Misri huku Chama yeye timu ya RS Berkane. 


Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-


10 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Ni mchezo unaochezwa ndio uwa siupendi. Wa kutufanya sisi mashabiki mabwege. Ilianza story kama vile Mo wamegombana na Chama vile huku baadhi ya mashabiki wakichagiza Chama hana nidhamu.Picha likaendelea ili hali wakijua hawakutaka kutamka rasmi. Jamn msituchukulie poa kihivo

      Delete
  2. mwaka huu utakua mchungu kwa Simba

    ReplyDelete
  3. Tunashukuru kwa taarifa nzuri, tunaimani na Viongozi wetu Mwaka huu Simba itafanya vizuri zaidi kuliko miaka ya nyuma.

    ReplyDelete
  4. Endelea kuota.Ukimaliza kunya.Tayarisha kabisa visingizio.Msimu huu unaahidi wewe. Aliahidi Engineer uchwara akapotea sembuse wewe zumbukuku.

    ReplyDelete
  5. Naamini si mwisho wa mafanikio ya simba izidi kungara ila wachezaji wazawa waige juhudi hizi

    ReplyDelete
  6. Et breaking news: nani alikuwa najua kama waliuzwa! Mo hawezi kutengeneza hasara, nani kakwambia kuna mhindi hajui biashara? Waliuzwa kitambo hao sema mikia fc ndo walikuwa wanajifariji tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mchezaji hauzwi Kama maandazi kuna taratibu nyingi inabidi zifanyike zikikamilika zote ndo unakuwa na uhakika kuwa deal done .. sio Kama wale waliokuja kwa mkopo hawana mambo mengi utasikia tu tayari kaondoka

      Delete
  7. nguzo ikitetereka.nyumba inayumba,labda kama hawakua nguzo.vinginevyo mici na chama hawapo wengi kwenye soka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic