August 10, 2021


UONGOZI wa Yanga umemtambulisha nyota mpya leo Agosti 10,2021 ambaye ni kipa kutoka Aigel Noir.


Ni Erick Johola ambaye ni raia wa Tanzania na alionekana na Yanga katika siku ya Mwananchi.


Nyota huyo anakuwa ni kipa namba mbili baada ya kipa namba moja Diarra Djigui kutambulishwa ndani ya kikosi hicho na ni dili la miaka miwili ambalo amesaini.

Anakuja kuchukua nafasi ya Farouk Shikalo ambaye dili lake limeisha sawa na Metacha Mnata ambapo makipa hawa wote wawili hawajaongezewa kandarasi mpya.

9 COMMENTS:

  1. Amechukua nafasi ya metacha , siyo shikalo

    ReplyDelete
  2. Hayahaya watani,,,, sajilini timu upya af hd wazoweane n mwez wa12,,,! Januari mtaanza safari zenu za CAS.....!

    ReplyDelete
  3. Hayo maneno mlipotolewa na UD Songo tulikuwa na Team mpya sisi tukatolewa na zesco round ya Pili ninyi awali, Chelsea Bingwa wa UEFA mbona Wachezaji wengi walikuwa wapya inategemea umesajili vipi.Hapa hizo nafasi Ni either walikuwa Maduka au mizigo na hawakutumika (hawakufit)Leo tunaleta wale wa kuwasaidia wachache waliotumika isipokuwa Tuisila tu ndiye tumepangua Timu anahitaji replacement,Lamine Ni duka ndiyo maana alisimamishwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duuh kila mtu duka, visingizio fc bhana hata msimu huu mtakuja na vioja vingine tu kwani mnaishiwa visingizio nyie

      Delete
  4. Huyu mwandishi pumba kabisa huyu kipa no raia wa Burundi yeye anasema nimtanzania

    ReplyDelete
  5. Ni Mtanzania huyu,lkn alikuwa anacheza Burundi

    ReplyDelete
  6. Yule wa Mali mikono buku 5 je huyu nae? Au buku 3 ndo maana ninkipa namba 2

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic