August 10, 2021


 LEO Agosti 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa,  Eric James Shigongo, ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

 

Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, wanamtakia heri ya kuzaliwa ndugu Eric mpambanaji wa muda wote.

 

 Mchango wako ni mkubwa  kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic