VIDEO: DILI LA LUIS MIQUISSONE KUIBUKIA AL AHLY LAGONGA MWAMBA
USAJILI wa nyota wa Simba raia wa Msumbiji Luis Miquissone kuelekea Al ahly ya Misri umekua unasusua baada ya kocha wa timu hiyo Pitso Mosimane kuamisha duru yake kwa mchezaji wa Brighton ya Epl Percy Tai.







Mashabiki hatuamini kama kweli dili limefeli tutashukuru kama kweli dili limefel
ReplyDeleteTeh teh
ReplyDeleteMimi binafsi iliniuma kuondoka kwa Luis na ikuwa ni kweli hatoondoka ni faraja kubwa kwa wana Simba, lakini pia tukumbuke kuwa zipo timu nyingi nyengine zilikuwa zinamtaka
ReplyDeleteKwakweli Luis akibaki ntafurahi sana! Nlishaanza kupoa kwa kuondoka kwake!
ReplyDeleteDau lilikua kubwa ukilinganisha na kiwango cha mchezaji
ReplyDeleteArudi acheze FDL tarehe 24 haipo mbali CAS hoyeee
ReplyDelete