SIMULIZI ya ndoa iliyokumbwa na misukosuko kibao
Tuliishi kwa upendo baina yangu na mke wangu. Tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu alipotaka kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila ya mavutano yoyote wakati wowote.
Hali ilikua shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna lolote lililotukwaza kama wapenzi. Mambo yalianza tu kubadilika wakati ambapo mke wangu alipata tenda ya kusambaza vyakula katika ofisi za kauti tuliyokuwa tukiishi naye kwa wakati ule.
Nilianza kuwa na shaka juu ya uhusiano wetu kwa sababu alianza kupokea simu nyingi zaidi hata wakati wa usiku. Mara nyingi alijificha ili kuzunngumza na waliompigia simu. Sikufurahishwa kabisa na tabia ile kwani nilijiambia moyoni alikuwa na mipango ya kando aliyoipata kazini pake.
Sikusita kumuuliza mbona alikuwa amebadilika kwa namna ile kwa sababu tabia ile haikunifurahisha kama mume wake halali kulingana na vyeti vya ndoa tulivyopewa kanisani kwenye harusi ya kupigiwa mfano.
Nilitaka afanye mambo hadharani kama yalikuwa ni halali lakini tabia ya kujifugia chooni anapopigiwa simu ama kutoka nje ya nyumba kila mara simu inapoita iliendelea kwa muda. Sikuwa na budi kama kiongozi wa nyumba kuwa na msimamo dhabiti na kukomesha tabia ile kwani nliligundua fika ingeniharibia ndoa yangu ambayo ilikuwa ingali changa, kwani tulikuwa tumeoana kwa muda wa miezi minane.
Watoto pia hatukuwa tumefanikiwa kupata. Muda ulivyosonga tabia za mke wangu pia zilikuwa zimeanza kuwa za ajabu.
Alianza kuja nyumbani usiku wa manane na nilipomuuliza alipokuwa ilikuwa na vurugu mechi na nyumba yetu ilikuwa ni kutupiana makonde na aliye na nguvu ndiye aliyeibuka kulala nyumbani.
Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani nilipata majeruhi vibaya pia naye hakuachwa nyuma kwani alama alizonipa zilinitia kiwewe, kwani ilikuwa vigumu hata kusubiri gari kuelekea kazini kwani ungedhani nilikuwa nimepata ajali ya kugongwa na gari moshi.
Majirani walibaki kuona sinema ya bure kwani wengi wao walifurahia mke wangu akinipiga makonde na kila mara aliponilemea walishangilia kwa furaha.
Nilipoonekana nimemzidia walikimbia kunishika ili nipigwe kitoto vizuri. Ama kwa hakika ilikuwa ndoa iliyokuwa si ya kutamaniwa na mtu yeyote ambaye alikuwa na mipango ya kuoa karibuni. Tulijaribu kuzungumza na wazazi ile tupate suluhisho la migogoro yetu ya kila mara lakini yote ilikuwa patupu kwani hamna lolote ambalo tulizingatia.
Tabia ya mke wangu ilinichosha hapo nikajitosa kwa kileo. Kila nilipo toka kazini nilipitia kwa mama pima ili nibugie pombe ili inipe ujasiri wa kumkabili mke wangu kwani yeye pia alikua ni kisiki kisicho tikisika kwa hali yoyote ile.
Siku moja nilikuwa nimelewa chakari. Nililipoingia chumbani nilipata mke wangu ametulia hali ambayo haikuwa ni kawaida yake. Jambo linilo nijia akilini nilidhani kuwa alikuwa na maumivu kwani haikuwa kawaida yake kutulia jinsi ile.
Aliandaa chakula cha jioni tukala. Nilitangulia kwenda kulala chumbani kwani nilikuwa nimepiga maji ajabu.
Alionekana kabadilika kwani hakuwa na mengi ya kuongea. Usiku mwendo kama saa nane hivi niligutushwa usingizini ni unyevunyevu ambapo uliandamana na uchungu fulani katika uume wangu.
Alikuwa amening’ata na damu ilikuwa imelowa kitandani. Nililia kwa uchungu kwa sababu pombe ilikuwa imenitoka akilini. Majirani waliwasili kunisaidia ambapo nilikua nimevuja damu nyingi. Hospitalini nilifanyiwa upasuaji ambapo madaktari walisema nisingeweza tena kufanya tena tendo la ndoa.
Jambo hilo lilinidhohofisha sana kimawazo kwani nilikuwa bado barobaro na kwenye harakati za kutafuta mtoto. Katika vituo vyote vya afya niliyoenda waliniarifu vile tu kuwa kufanya tendo la ndoa ingekuwa ni vigumu.
Nilipatana na Sam ambaye alikuwa ni rafiki wangu wa kale pale chuoni. Nilimwelezea masahibu yangu akanielezea kuwa alikuwa na suluhisho na ilikuwa twende kwa madaktari wa Kiwanga kwani walikuwa na uwezo wa kunisaidia kwa hali yoyote ile.
Siku iliyofuatia tulienda kwa madaktari wa kiwanga ambapo nilihudumiwa. Baada ya kurejea nyumbani mke wangu alikuwa kesharudi jambo ambalo pia lilinishagaza. Usiku ule tulikula uroda naye kwani ilikuwa ni muda mrefu tangu kisa kilipotokea.
Ama kwa hakika madaktari wa kiwanga walikuwa wamesaidia kutovunjika kwa ndoa yetu. Mke wangu alienda hospitalini na alipopimwa alipatikana ni mjamzito wa wiki tatu.
Yeyote aliye na matatizo ya ndoa na anahitaji suluhisho la haraka anapaswa kutembelea madaktari wa Kiwanga kwani uwezo wao si wa kubahatisha kamwe. Wanatibu kifua kikuu, ukosefu wa nguvu za kiume na mengineyo kwa siku tatu tu.
Unaweza mpata Dr.kiwanga kwa namba +254 769404965 au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Mbona hapatikan
ReplyDelete