Kuhusu kuzungumza na Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa kuna jambo ambalo linakuja kwa kuwa wana matumaini ya kuweza kuona jambo hilo linatokea. Kwa wakati huu amesema kuwa kuna mchezaji ambaye ana rekodi nzuri ambaye ni Rashid anacheza Ghana anaweza kuja kucheza ndani ya timu tatu ambazo ni Yanga, Azam na Simba.
Amzungumzia Bernard Morrison wa Simba kwa kusema kuwa ni miongoni mwa wachezaji wazuri na anapenda namna ambavyo anacheza huku akiongeza kuwa Peter Banda ni mchezaji mzuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment