August 5, 2021

9 COMMENTS:

  1. Waandishi habar zingine za utopolo na manala wao musiziweke mtandaoni munatuchefua

    ReplyDelete
  2. Sasa ni bora Yanga mumchukue Manara na apewe hadi milioni 50 kwa mwezi ili Yanga ishinde

    ReplyDelete
  3. Akili za utopolo zitawachelewesha sana kwenye mafanikio

    ReplyDelete
  4. Simba imechukuwa ubingwa. wa nyumbani na nje kwa uwezo mkubwa wa kujipanga na kushinda. Au wameshinda kwa kununuwa mechi alizozitowa yeye? Asijihangaishe akadhania atapata wafuasi kwani wote ni dhidi yake na huku mnyama akiendelea kukata mbuga

    ReplyDelete
  5. muliaza na aliekua c o wa simba mkamchukua mkasema simba imeisha leo kaondoka manara mnarejea rejea kilasiku mnyama anazidi kung'ra kimataifa

    ReplyDelete
  6. cmba inaongozwa kwa vitendo sio usanii mara leo tumemalizana na banda mara kesho tunatangazwa ubingwa kesi ya morrison mnawapumbaza tu washabiki wenu nao wameriziiika

    ReplyDelete
  7. Ni shauri kabambe Yanga kumchukuwa Manara kwasababu atawapeni siri zote za Simba anzozijuwa alizoaminiwa pamoja na mafaili yake yote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic