August 13, 2021

4 COMMENTS:

  1. Duuh sisi mikia kweli tumebanwa kwenye Kona. Hatuna maamuzi na timu sio kama wenzetu uto.sisi huku kila kitu ni Babra. Akisema kocha hamtaki wote kimya. Akisema Senzo hamtaki wote kimya. Akisema Manara hamtaki wote kimya. Kweli mikia haina tofauti na vibaraka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli mwaka huu ile njia tunayotumia kuifunga Simba ambayo wao huiita hujuma imezibwa. Kila kibaraka tunachoweka msimbazi kinafyekwa. Sasa tumebaki na option ya marefa na uchawi.

      Delete
  2. Wewe Mkia sisi tuna deal na marefa maana Kama yule Sasi anayejiripua tutamfata Nyumbani ,akiona mmeelemewa kwa anajiripua .Watu wanawekeza pesa tunataka Mpira hata vile vitimu mnafanya matawi msimu huu vinashuka mmeona vitatu vimesepa,bado Coastal na Mbeya City na Namungo ,Azam Lwandamina hataki kuharibiwa CV ndiyo maana mlihitaji msaada wa Alagija na Sasi kwa nyakati tofauti.

    ReplyDelete
  3. Tangu lini shabiki akasajili mchezaji?? Viongozi wenu wapiga dili wanaowaletea mbwa kwny gunia huku mkidanganyika n mwanambuzi cyo sawa na MO! Acha tuendelee kuyakusanya tuu! Timu inasajili more than 10 players kwa msimu m1??? Duh..!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic