Ni muhimu zaidi kufunika kwa makombe. Mntama alikuwa keshafunika kabla ya kufunguliwa kwa usajili na alichokifanya ni kuongezea viungo tu ili mchuzi uzidi utamu wake
Labda Yanga imeifunika Simba kwenye usajili kwa majina ila kwa wachezaji itanyesha hivi karbuni tunaona nani imara zaidi. Hata simba hakuwa Anahitaji usajili wa kishindo wa hivyo kutokana na uimara wa kikosi cha Simba.
Ni muhimu zaidi kufunika kwa makombe. Mntama alikuwa keshafunika kabla ya kufunguliwa kwa usajili na alichokifanya ni kuongezea viungo tu ili mchuzi uzidi utamu wake
ReplyDeleteLabda Yanga imeifunika Simba kwenye usajili kwa majina ila kwa wachezaji itanyesha hivi karbuni tunaona nani imara zaidi. Hata simba hakuwa Anahitaji usajili wa kishindo wa hivyo kutokana na uimara wa kikosi cha Simba.
ReplyDelete