October 14, 2021


SIMULIZI ya familia iliyokuwa na migogoro ya mara kwa mara


Ndugu wanapaswa kuishi kwa amani kwa wakati wowote ule. Hili lilikuwa ni tofauti kabisa katika familia ya upande wa mume wangu kwani ndugu wote wanne waliishi kuwa wenye ugomvi kila mara huku tusijue kile walichokuwa wakizozania kwa wakati ule.


 Nilidhania kwa wakati mwingine waligombania shamba lakini hili lilikuwa tofauti kabisa na kila mtu alikuwa ameshapewa mgao wake wa shamba kwa usawa. 

Mali ambayo babayao aliwaachia nyuma baada ya kufariki walikuwa wameigawanya kwa usawa na hakuna hata yeyote aliyeachwa nyuma ama kutengwa kwa wakati wowote ule. 

Sikujua chanzo haswa cha ugomvi baina yao.Hali ile ilipelekea hata mume wangu kutishiwa maisha yake na baadhi ya ndugu zake. Hakufahamu fika ni kwanini walitaka kumwangamiza licha yake kuwa ndugu wao wa toka nitoke.

Siku zilivyosonga ndipo mambo yalizidi kuwa magumu zaidi. Hapo awali walikuwa wakikutana kwenye mikutano ya familia na kuzungumza mambo yaliyowasumbua kama ndugu lakini kwa wakati huu hakuna hata aliyetaka kumwona mwenzake mume wangu pia akiwemo. 

Tulijaribu kuketi chini kama wake wenye boma lile ile kutafuta muafaka katika familia ile lakini mambo yalikuwa ni magumu zaidi kwani pia mashemeji wangu walikuwa na kinyongo nisijue hata jinsi ningewakaribia.

 Hakuna aliyetaka hata kumuona mwingine. Tulikuwa tunaishi kwenye boma moja sisi wote na hakuna aliyetaka mwanawe apatikane akicheza na watoto wengine kwani hio ilikuwa ni hatia kubwa zaidi kuwahi kufanyika.

 Suala lile lilinipa msongo wa mawazo kwani sikuona pia haja ya kuendelea kukaa kwenye familia ile ambayo kila mtu alikuwa na hasira na moyo mbaya wenye wivu.

 Nilianza kumweleza mume wangu kuwa nilikuwa katika harakati za kutaka kuondoka kwenye familia ile kwa kuwa nisingesubiri kukaa pale.

 Lakini kabla ya kuondoka kwangu, nilipatana na Eunice ambaye alisema kwamba familia yao pia ilikuwa na shida aina ile lakini daktari wa miti shamba aitwaye Kiwanga alimaliza shida ile kabisa.

 Alinielekeza kwenye mtandao www.kiwangadoctors.com na hapo nikapatana na shuhuda ambazo nilimwambia mume wangu na hapo akakumbatia wito wa kumtembelea daktari Kiwanga kwa usaidizi. 

Tulifunga safari na kuenda hadi mjini Kericho ambako daktari Kiwanga alikuwa akifanyia kazi. Nilimwelezea shida pamoja na mume wangu na hapo akasema kuwa alikuwa amesaidia watu wengi waliokuwa na shida sampuli zile na kwamba yetu ilikuwa tu ni kitu kidogo. 

Alitupa dawa kama tembe ambayo alitushauri tuipande kwenye kiingilio cha boma letu. Tulirejea nyumbani na tukafanya aliyotuambia daktari Kiwanga. Baada ya siku tatu ama kwa hakika mambo yalikuwa ni tofauti kweli.

 Kila kitu kilikuwa kimeanza kurejea kwa kawaida kwani ndugu wale walianza kuzungumza. Baada ya wiki moja waliandaa sherehe pale nyumbani na kwenye sherehe ile ajenda ilikuwa ni kuzika tofauti zao kwenye kaburi la sahau.

 Mambo yakikuwa yamebadilika kwenye boma lile. Hali ya upendo ilikuwa imerejea tena. Kila aliyetaka kufanya jambo alifanya kwa ushauri wa wale ndugu wote wanne. Tangu siku ile maisha yalikuwa mazuri kwani tuliishi kwa amani na upendo kama familia moja kwa hisani ya daktari Kiwanga.

Wanatibu magonjwa ya zinaa kama vile Kaswende, Kisonono na magonjwa mengine kwa muda wa siku tatu pekee. 

Wanakuwezesha kusuluhisha migogoro ya baina ya wanafamilia na kuleta umoja na upendo katika familia zile.

 Bishara yako inaweza kuimarika kwa uwezo wao kwa wakati wowote ule. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic