September 22, 2014

 
KIONGERA (KATIKATI) AKIANGUKA BAADA YA KUGONGANA NA KADO HUKU MABEKI WA COASTAL WAKISHUHUDIA.
Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera jana alilazimika kucheza dakika chache tu baada ya kuingia, halafu akatolewa tena.

Kiongera alitolewa baada ya kuumia ikiwa ni kutokana na kugongana na kipa Shabani Kado wa Coastal Union na inaonyesha alinusurika kwa kuwa angeweza kuumia vibaya zaidi.

Baada ya kugongana na Kado katika mechi hiyo iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2, Kiongera aliangukia vibaya shingo.
Hata hivyo imeelezwa anaendelea vizuri na hajapata madhara makubwa sana hasa shingoni au kichwani. Cheki picha zote tatu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic