Hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamekutana
mara ya kwanza, safari hii kwa ajili ya ‘kazi’.
Wawili hao watakutana katika pambano ghali zaidi
la ngumi katika historia ya mchezo huo litakalipigwa Mei 2, mwaka huu.
Kila mmoja alionyesha kujiamini kwamba atafanya
vizuri katika pambano hilo na wakasisitiza watu wajitokeze kulishuhudia pambano
hilo la kihistoria.
Tayari kila mmoja ameishaanza kujiandaa na
pambano hilo na kufanya mazoezi makali. CHEKI MAPICHA.


















0 COMMENTS:
Post a Comment