July 16, 2015

Kati ya wanasoka wa Tanzania ambao wameamua kujitiliza kweli na kuendesha mambo yao ‘kikubwa’, basi Shekhan Rashid hawezi kutoka kwenye Top 3.

Kiungo huyo wa zamani wa Simba na Taifa Stars sasa anaishi nchini Sweden ambako anaendesha maisha yake.

Kiana Shekhan amekuwa akiendelea kucheza soka, lakini muda mwingi anaonekana yeye ni kati ya wanaojali familia zao kweli.


Shekhan anaweza kuwa mfano kwa kuwa muda mwingi anaonekana akijali kuona familia yake, yaani watoto wake wawili pamoja na mkewe wanakuwa ni watu wenye furaha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic