July 16, 2015



MACHUPPA (KULIA) AKIJADILIANA NA WASHIKAJI ZAKE, KAMA ACHUKUE 'NDULA' IPI...
 
Unamkubuka mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athumani Machuppa ‘Mani’, sasa anaishi jijini Stockholm nchini Sweden.


MANI...
Jana ametupia picha mtandaoni akionekana anapiga shopping ambayo inaonekana wazi ni maandalizi ya sikukuu ya Iddi.
Mani anaonekana akiwa na ‘masela’ wake akipiga shopping katika mitaa maarufu ya Stockholm ambayo ina maduka mbalimbali yenye ‘pamba’ swaafi.

Ingawa Mani anaendesha maisha yake kwa kazi, lakini amekuwa akikipiga ili kuonyesha kuwa hajaisha.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic