April 1, 2017


Nahodha wa Azam FC, John Bocco ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi pale timu yake ilipokutana na Yanga.


Bocco amefunga mabao 13 akifuatiwa na mshambuliaji mwingine wa zamani wa Azam FC, Kipre Tchetche ambaye sasa yuko nchini Oman.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV