February 16, 2016



Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, amefariki dunia jijini Dar es Salaam.

Taariafa za awali kutoka kwa ndugu wa John Walker aitwaye Omary, amesema msanii huyo ameripukiwa na mtungi wa gesi wakati akiutengeneza.

Msanii huyo kutoka katika kundi la Watukutu alikuwa maarufu kutokana na kuimba mistari yenye ujumbe lakini kwa sauti ya mlevi.


Bado tunaendelea kutafuta taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic