ANGALIA MBWEMBWE ZA USAIN BOLT, ATUPIA PICHA MTANDAONI AKIWA AMESIMAMA JUU YA UKUTA Bingwa wa mbio fupi duniani, Usain Bolt wa Jamaica, ametupia ujumbe mtandaoni akiuliza hivi: “Kila kitu kinawezekana, si ndiyo?” Chanzo cha kuuliza hivyo ni kwa kuwa Bolt ametupia picha akiwa amesimama ukutani jambo ambalo alijua litawashangaza watu wengi.
0 COMMENTS:
Post a Comment