July 27, 2016

KOCHA WA AZAM FC, ZEBEN HERNANDEZ AKIMKASIBISHA AMIDU. KATIKATI NI MSEMAJI WA AZAM FC, JAFFAR IDDI.

Mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Brian Abbas Amidu ametua nchini tayari kujaribiwa katika kikosi cha Azam FC.

Amidu amesafirishwa hadi mjini Zanzibar ambako Yanga imeweka kambi yake kujiandaa na Ligi kuu Bara msimu mpya wa 2016-17.

Azam FC inahaha kupata straika kwa kuwa mshambuliaji wake Kipre Tchetche amegoma kurejea nchini.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic