August 9, 2016


Unaweza kusema Simba si wachoyo, maana hata kwenye kula keki yao ya miaka 80, waliwakaribisha watani wao Yanga.

Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali, aliwalisha keki baadhi ya mashabiki wa Yanga katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Hiyo ilikuwa ni dakika chache kabla ya Simba kusherekea miaka hiyo 80 tokea kuanzishwa na raha zaidi, wakaitandika AFC Leopards, moja ya timu kongwe kutoka nchini Kenya kwa mabao 4-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic