February 20, 2013



MBEYA:
Simba iko mbele kwa bao moja, mfungaji ni Amri Kiemba ambaye amefunga kiufundi baada ya kuwachambua mabeki wa Prisons...
Mpira ni wa kukamiana zaid
Azam V Ruvu JKT
Dk ya 2 Azam FC wanapata bao la kwanza mfungaji Wazir Salum baada ya kupokea pasi ya Himid Mao.
Dk ya 44, Azam FC wanapata bao la pili kupitikia kwa Emmanuel Bocco.
half time....
Kipindi cha pili kimeanza, mashambulizi kwa zamu 
Dk 46 Mcha anaifungia Azam FC bao la tatu kwa shuti kali, pasi ya Mao
DK 67 anatoka Tchetche anaingia Seif Abdallah
Dk 71 anatoka Bocco, anaingia Abdi Kassim 'Babi'
Dk 72 Azam wanapata bao la nne, mfungaji Babi ikiwa ndiyo mpira wake wa kwanza kugusa tokea aingie uwanjani.
Dk 81 Mwaikimba anaingia kuchukua nafasi ya Mwaipopo
Dk 83, pasi ya Mwai..Seif anapoteza nafasi ya wazi kufunga bao
FULL TIME....AZAM 4...JKT 0
FULL TIME....PRISONS 0 SIMBA 1
MKWAKWANI@
Coastal 2....Oljoro 0
KIRUMBA...
Toto 0....Lyon 1
VIKOSI:
Azam: Mwadini, Mao, Waziri, Attudo, Mwantika, Mwaipopo, Mcha, Jabir, Bocco, Mieno&Tchetche
JKT:Dihile, Zuberi, Mapande, Kisimba, Makwaya, Shoji, Mgisa, Naftali, Kamuntu, Mgosi&Bunu

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic