February 20, 2013



BAADA ya kusotea mkwanja wake kwa muda mrefu, kuna taarifa huenda kocha wa zamani wa Simba akalipwa fedha zake leo.
Kuna taarifa kuna mdau mmoja wa Simba ameamua kufuta aibu inayoendelea kuisakama klabu hiyo hasa baada ya viongozi wake kushindwa kumlipa kocha huyo.
Taarifa zinaeleza, huenda Milovan ambaye anadai dola 32,000 huenda akalipwa leo hii. Salehjembe inaendelea kufuatilia kwa karibu ili kujua kitu gani kinaendelea hadi mwisho. USIKAE MBALI

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic