Nyota wa Man United, Wayne Rooney akiwaongoza wenzake kupasha misuri moto kabla ya kuanza kwa mtanange wa ligi ya mabingwa dhidi ya Real Madrid kwenye uwanja wa old Traffold jana usiku.
Cristiano Ronaldo akisindikiza wazuni krosi ya Gonzalo Higuan na kuindikia Real bao la ushindi kwenye mchezo wa jana dhidi ya United katika dakika ya 70.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 COMMENTS:
Post a Comment