DORTMUND YASONGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA Borussia Dortmund ikiwa nyumbani imefanikiwa kusonga mbele baada ya kuichapa Shaktar kwa mabao 3-0. Kwa leo, Madrid na Dortmund wamefanikiwa kuingia katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
0 COMMENTS:
Post a Comment