Kocha wa Yanga, Ernie Brandts ameshindwa kutokea uwanjani wakati kikosi
chake kinapambana na Ruvu JKT sasa.
Imeelezwa Brandts yuko hoi kutokana na ugonjwa wa malaria ambao
umesababisha ashindwe kuja mazoezini.
Brandts alitibiwa malaria na kurudi katika hali yake, akarejea kazini na
mazoezi.
Lakini leo amezidiwa na msaidizi wake, Fred Felix Minziro ambaye ni
msaidizi wake yuko hapa akiendelea kuingoza Yanga katika mechi dhidi ya JKT.







0 COMMENTS:
Post a Comment