Jay Z, Beyonce na binti yao wametua
jijini Paris, Ufaransa kwa ajili ya shughuli zao.
Lakini wapiga picha wakawashitukia
wakati wanaingia kwenye mhagawa mmoja kwa ajili ya kupata chakula.
Wakavamia na kuanza kuwapiga picha,
hawakutegemea kuwaona wapiga picha hao baada ya kuwa wameshuka kwenye gari
yenye vioo vye kiza.
Pamoja na yote, gumzo kubwa limekuwa ni
baada ya picha hizo kuwekwa mtandaoni, kwa kuwa binti huyo anaonekana kufanana
zaidi na baba yake kuliko mama.












0 COMMENTS:
Post a Comment