FBI imeweka
wazi mpango la washukiwa wawili waliohusika na milipuko miwili mjini Boston,
Marekani.
Tayari
uchunguzi mkali umeanza na picha za washukiwa wawili ambao bado haijajulikana
ni raia wa nchi gani, kama ni kutoka barani Ulaya, Asia au Marekani.
Tayari msako
umeanza na serikali ya Marekani imetangaza kuwataka wananchi washirikiane nao
katika kuwanasa watu hao.
Askari wamekuwa
wakiranda kila sehemu wakiwatafuta watu hao na mara kadhaa wametupiana risasi
na watu fulani lakini wahusika bado hawajakamtwa.
![]() |
| Mtuhumiwa namba 2 |












0 COMMENTS:
Post a Comment