April 15, 2013



 
Baada ya kusakamwa mfululizo na vyombo vya habari vya England, Kocha Mkuu we Sunderland, Paolo Di Canio alilipiza hasira zake kwa kushangilia kwa staili ya aina yake.


Di Canio ambaye alikuwa akisakamwa na vyombo vya habari vya England kuwa ana imani za kifashti, jana alikuwa kama mwendawazimu wakati timu yake ilipoitwanga Sunderland kwa mabao 3-0.

Timu hizo mbili zina upinzani mkubwa wa jadi, na ilikuwa mechi muhimu kwa Di Canio baada ya kuanza ile ya kwanza kwa kupoteza.


Staili zake za kushangilia zimekuwa gumzo na jana aliwaeleza waandishi wa habari kwamba kushangilia kwa aina ile kulisababisha suruali yake kuharibika kabisa kwa kuwa alikuwa akijiburuza chini.

Cheki picha jamna mtukutu huyo wa enzi zake akiwa West Ham United alivyokuwa akikumbushia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic