Kwa mara ya kwanza
mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi amemuonyesha hadharani mtoto wake.
Mtoto huyo aliyepewa jina la
Messi Junior alionekana katika picha iliyotumwa na Messi mtandaoni akiwa na
mpenzi wake, Antonella Rocuzzo ambaye ni mama mzazi wa mtoto huyo.
Picha hiyo haikuwa ya kwanza
ya Messi Junior kuonekana mtandaoni lakini ni ya kwanza kumuonyesha vizuri sura
yake.
Kabla picha zilizokuwa
zikitupiwa mtandaoni zilikuwa zikificha sura yake kwa asilimia 85 au wakati
mwingine asilimia mia kabisa.








0 COMMENTS:
Post a Comment