Televisheni maarufu ya
nchini Ufaransa ya L'Equipe 21 imetangaza kuwa wakala wa mshambuliaji kinda
wa PSG, Verratti amefanya mazungumzo na Real Madrid jana.
Donato di Campli alikuwa
jijini Madrid kukutana na uongozi wa klabu hiyo na kujadili suala hilo la
Verratti kutua Madrid.
Verratti mwenye miaka 20 ni
kari ya wachezaji wanaotegemewa sana na Kocha Mkuu wa PSG, Carlo Ancelotti
lakini inaonekana Madrid wamepania kumtwaa kwa ajili msimu ujao.
Kinda huyo amekuwa tishio
msimu huu pamoja na umri wake mdogo na amekuwa msaada mkubwa kwa Ancelotti.
0 COMMENTS:
Post a Comment