Kipigo cha jumla ya mabao 0-7 kutoka kwa Bayern Munich katika hatua ya nusu fainali kimezua mambo mengi sana kwa Barcelona na sasa Rais wake wa zamani, Joan Laporta.
Akifanya mahojiano na jarida la DPA la Ujerumani, Laporta amesema kuna mambo mengi yalijitokeza, baadhi anatakiwa kulaumiwa ni kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola.
Laporta amesema Villanova hakuwa ameiva kufundisha Barcelona lakini kwa kuwa alikuwa mwanafunzi wa Guardiola ndiyo maana alimpendekeza.
Alisema Guardiola anamuona tatizo kwa kuwa alimpendekeza Villanova kishkaji, uongozi pia ukakubali kwa kuwa walikuwa wakimuona kocha huyo wa zamani kama kila anachosema ni sahihi ndiyo maana waliwahi kumpa jina la Dalai Rama.
“Wangeweza kuchukua kocha mwingine na Villanova akawa msaidizi na baada ya hapo akaendelea kujifunza zaidi lakini wakamharakisha
0 COMMENTS:
Post a Comment